-
Watakaohujumu mradi wa reli ya kisasa ya SGR nchini Kenya, kunyongwa!
May 31, 2017 12:37Rais Uhuru Kenyatta azindua usafiri wa reli ya kisasa, ulioigharimu nchi hiyo karibu Shilingi bilioni 400 (Dola Milioni 40 za Marekani).
-
Maafisa polisi 7, raia 1 wauawa katika shambulizi la bomu Lamu, Kenya
May 31, 2017 10:30Maafisa saba wa polisi ya utawala wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa kando ya barabara katika kaunti ya Lamu, kusini mashariki mwa Kenya.
-
Kenya kutumia jeshi kutegua mabomu ya barabarani
May 26, 2017 03:24Kenya imetuma wanajeshi katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kwenda kutegua mabomu yaliyotegwa barabarani baada ya watu 20 wakiwemo maafisa 11 kuuawa katika miripuko ya barabarani kwenye eneo hilo.
-
Askari polisi 5 wa Kenya wauawa katika shambulizi la bomu
May 25, 2017 09:29Kwa akali maafisa watano wa polisi nchini Kenya wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
SAUTI: Waislamu Kenya: Serikali ya Jubilee isitumie suala la uhuru wa Ramadhani katika kampeni, ni haki ya kila Mkenya
May 23, 2017 13:32Shakhsia mbalimbali wa Kiislamu nchini Kenya, wameitaka serikali kuwahakikishia Waislamu usalama wa kutosha ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya serikali hiyo kuondoa hali ya hatari katika maeneo ya mpakani na Somalia.
-
Kenya yaongoza katika ununuzi wa bidhaa za Iran barani Afrika
May 20, 2017 08:48Kenya inaongoza katika ununuzi wa bidhaa kutoka Iran barani Afrika na ni ya 15 kwa ujumla katika ununuzi wa bidhaa za Iran duniani.
-
Polisi ya Kenya: Tumewatia mbaroni wanachama 33 wa al-Shabab
May 19, 2017 23:35Polisi ya Kenya imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama 33 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab miezi minne iliyopita katika mji ulioko karibu na mpaka wa nchi mbili.
-
Mlipuko wa kipindupindu wauawa watu 7 nchini Kenya
May 19, 2017 03:27Kwa akali watu wanne wameripotiwa kufariki dunia kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Kenya, huku mji mkuu Nairobi ukiathiriwa zaidi.
-
Magaidi wa Al Shabab waua afisa wa utawala Kenya
May 16, 2017 09:43Watu wanaoaminika kuwa magaidi wa kundi la kigaidi la Al Shabab kutoka Somalia wameingia katika eneo la mpakani kaskazini mashariki mwa Kenya na kumuua afisa mmoja wa utawala nchini humo.
-
Rais Kenyatta aagiza uchunguzi baada ya ajali kuua watu 20 Kenya
May 13, 2017 09:23Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameagiza uchunguzi kufanyika baada ya watu 20 kupoteza maisha Jumamosi asubuhi kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika barabara ya Nairobi-Nakuru.