-
Wakenya wamshangaa Raila Odinga kuuombea utawala wa Kizayuni wa Israel
May 11, 2017 00:20Hatua ya mgombea wa urais wa Muungano wa National Super Alliance (NASA) Raila Odinga ya kuiombea Israeli, wakati alipofanya safari huko Quds hapo jana, imewashangaza Wakenya wengi katika mitandao ya kijamii.
-
UNHCR: Zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka Kenya
May 09, 2017 23:39Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka nchini Kenya.
-
SAUTI: Rais Kenyata wa Kenya, nitaongezea asilimia 18 ya mshahara, pia Wakenya wasiende nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani
May 01, 2017 12:26Kwa mara ya kwanza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amehudhuria sherehe za wafanyakazi nchini humo Mei Mosi zilizoadhimishwa duniani kote hii leo.
-
Serikali ya Kenya yaja na mpango wa kuimarisha utalii 'Halal'
Apr 30, 2017 11:44Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya imeazimia kuimarisha utalii 'Halal' ambao unalenga kuwavutia watalii Waislamu kwa kutoa huduma ambazo zinazingatia mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
-
SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya, wategua kitendawili kwa kumtangaza rasmi mgombea wao kwenye uchaguzi ujao
Apr 27, 2017 12:29Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA umemtangaza rasmi aliyekuwa makamu wa rais wa wa nchi hiyo Raila Odinga, kupeperusha bendera ya upinzani katika uchaguzi ujao.
-
Muungano wa upinzani Kenya wamtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wake wa urais
Apr 27, 2017 11:33Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA, hatimaye leo umemtangaza mgombea wake wa urais aliyekuwa akisubiriwa kwa muda mrefu. Muungano huo umemtangaza kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 8 mwaka huu.
-
Jeshi la Kenya: Tumewaua magaidi kadhaa wa ash-Shabab katika shambulizi la anga
Apr 25, 2017 10:45Jeshi la Kenya limetangaza kutekeleza shambulizi la anga katika ngome ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab la Somalia katika eneo la Jado nchini humo na kusababisha magaidi kadhaa kuuawa.
-
Kenya: Wanamgambo 52 wa al Shabab wameuawa Somalia
Apr 21, 2017 11:58Jeshi la Kenya limewauwa wanamgambo 52 wa kundi la kigaidi la al Shabab katika shambulio lililofanyika hii leo kwenye kambi ya kundi hilo kusini mwa Somalia.
-
Kenyatta awaonya wanaofanya njama za kuvuruga uchaguzi Kenya
Apr 20, 2017 23:45Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaonya watu aliosema wanafanya njama za kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwezi Agosti mwaka huu.
-
Iran na Kenya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
Apr 15, 2017 09:07Balozi wa Iran nchini Kenya amesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa kiuchumi baina ya Tehran na Nairobi.