Watakaohujumu mradi wa reli ya kisasa ya SGR nchini Kenya, kunyongwa!
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i29858-watakaohujumu_mradi_wa_reli_ya_kisasa_ya_sgr_nchini_kenya_kunyongwa!
Rais Uhuru Kenyatta azindua usafiri wa reli ya kisasa, ulioigharimu nchi hiyo karibu Shilingi bilioni 400 (Dola Milioni 40 za Marekani).
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 31, 2017 12:37 UTC

Rais Uhuru Kenyatta azindua usafiri wa reli ya kisasa, ulioigharimu nchi hiyo karibu Shilingi bilioni 400 (Dola Milioni 40 za Marekani).

Serikali ya Kenya imeahidi kukabiliana na waharibifu wa miradi mikuu ya serikali kwa mkono wa chuma. Serikali ya Nairobi imesema itawatia kitanzi wote ambao watapatikana na hatia ya kutaka kumlemaza mkenya kimaendeleo baada ya serikali hio kukopa kiasi kikubwa cha fedha za kigeni ili kujiendeleza katika sekta ya uchukuzi na miundo msingi.

Seifullah Murtadha ana maelezo zaidi kutoka Mombasa......