Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Askari polisi 5 wa Kenya wauawa katika shambulizi la bomu

    Askari polisi 5 wa Kenya wauawa katika shambulizi la bomu

    May 25, 2017 09:29

    Kwa akali maafisa watano wa polisi nchini Kenya wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • SAUTI: Waislamu Kenya: Serikali ya Jubilee isitumie suala la uhuru wa Ramadhani katika kampeni, ni haki ya kila Mkenya

    SAUTI: Waislamu Kenya: Serikali ya Jubilee isitumie suala la uhuru wa Ramadhani katika kampeni, ni haki ya kila Mkenya

    May 23, 2017 13:32

    Shakhsia mbalimbali wa Kiislamu nchini Kenya, wameitaka serikali kuwahakikishia Waislamu usalama wa kutosha ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya serikali hiyo kuondoa hali ya hatari katika maeneo ya mpakani na Somalia.

  • Kenya yaongoza katika ununuzi wa bidhaa za Iran barani Afrika

    Kenya yaongoza katika ununuzi wa bidhaa za Iran barani Afrika

    May 20, 2017 08:48

    Kenya inaongoza katika ununuzi wa bidhaa kutoka Iran barani Afrika na ni ya 15 kwa ujumla katika ununuzi wa bidhaa za Iran duniani.

  • Polisi ya Kenya: Tumewatia mbaroni wanachama 33 wa al-Shabab

    Polisi ya Kenya: Tumewatia mbaroni wanachama 33 wa al-Shabab

    May 19, 2017 23:35

    Polisi ya Kenya imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama 33 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab miezi minne iliyopita katika mji ulioko karibu na mpaka wa nchi mbili.

  • Mlipuko wa kipindupindu wauawa watu 7 nchini Kenya

    Mlipuko wa kipindupindu wauawa watu 7 nchini Kenya

    May 19, 2017 03:27

    Kwa akali watu wanne wameripotiwa kufariki dunia kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Kenya, huku mji mkuu Nairobi ukiathiriwa zaidi.

  • Magaidi wa Al Shabab waua afisa wa utawala Kenya

    Magaidi wa Al Shabab waua afisa wa utawala Kenya

    May 16, 2017 09:43

    Watu wanaoaminika kuwa magaidi wa kundi la kigaidi la Al Shabab kutoka Somalia wameingia katika eneo la mpakani kaskazini mashariki mwa Kenya na kumuua afisa mmoja wa utawala nchini humo.

  • Rais Kenyatta aagiza uchunguzi baada ya ajali kuua watu 20 Kenya

    Rais Kenyatta aagiza uchunguzi baada ya ajali kuua watu 20 Kenya

    May 13, 2017 09:23

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameagiza uchunguzi kufanyika baada ya watu 20 kupoteza maisha Jumamosi asubuhi kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika barabara ya Nairobi-Nakuru.

  • Wakenya wamshangaa Raila Odinga kuuombea utawala wa Kizayuni wa Israel

    Wakenya wamshangaa Raila Odinga kuuombea utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 11, 2017 00:20

    Hatua ya mgombea wa urais wa Muungano wa National Super Alliance (NASA) Raila Odinga ya kuiombea Israeli, wakati alipofanya safari huko Quds hapo jana, imewashangaza Wakenya wengi katika mitandao ya kijamii.

  • UNHCR: Zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka Kenya

    UNHCR: Zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka Kenya

    May 09, 2017 23:39

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka nchini Kenya.

  • SAUTI: Rais Kenyata wa Kenya, nitaongezea asilimia 18 ya mshahara, pia Wakenya wasiende nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani

    SAUTI: Rais Kenyata wa Kenya, nitaongezea asilimia 18 ya mshahara, pia Wakenya wasiende nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani

    May 01, 2017 12:26

    Kwa mara ya kwanza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amehudhuria sherehe za wafanyakazi nchini humo Mei Mosi zilizoadhimishwa duniani kote hii leo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS