-
Kamanda Irani: Nchi za kanda zinaweza kujidhaminia usalama
Mar 12, 2025 12:43Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanapaswa kubadili mtazamo wao kuhusu kanda hii na kusisitiza kuwa nchi za kanda zinaweza kuhakikisha usalama wao wenyewe.
-
Kushiriki Iran katika "Mkutano wa Nchi za Bahari ya Hindi" kuna umuhimu gani?
Feb 19, 2025 02:35Duru ya Nane ya Mkutano wa Nchi za Bahari ya Hindi chini ya kauli mbiu "Kuelekea Upeo Mpya wa Ushirikiano wa Baharini" imefanyika tarehe 16 na 17 mwezi huu wa Februari huko Oman kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi 20 wanachama. Oman, India na Singapore kwa pamoja zilikuwa wenyeji wa kongamano hilo.
-
Maneva ya pamoja ya muungano wa baharini kati ya Iran, China na Russia
Mar 14, 2024 07:15Msemaji wa maneva ya "Ukanda wa Usalama wa Baharini 2024" amesema kuwa dunia inashuhudia muungano mpya wa baharini kati ya Iran, China na Russia kwa ajili ya kudhamini usalama wa kaskazini mwa bahari ya Hindi.
-
Kuongezeka uwepo wa wanamaji wa Iran katika Bahari Nyekundu
Jan 03, 2024 12:01Meli ya kivita ya Alborz imerudi tena katika Bahari Nyekundu ikiwa ni katika Meli za Kikosi cha 94 cha Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kupitia Lango-Bahari la Bab al-Mandab. Manowari hiyo ya Alborz ilijiunga na Meli za Kusini za Jeshi la Wanamaji Desemba 2019 baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa na kuwekwa humo mifumo mipya ya kiteknolojia.
-
Kiongozi Mkuu: Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni rasilimali kubwa ya Mfumo na nchi
Nov 28, 2023 14:22Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kutambuliwa uwezo na fursa mpya kwa ajili ya kuongeza nguvu na uwezo wa mfumo na nchi, pamoja na kujenga ukakamavu na matumaini katika jamii.
-
Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini
Mar 10, 2022 04:10Kikao cha Tatu cha Makamanda wa Gadi ya Ufukweni ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran na Oman kimefanyika mjini Muscat na kujadili usalama wa baharini. Maudhui kuu iliyojadiliwa na nchi hizi mbili ndugu katika kikao hicho ni kuzidi kushirikiana na kuwa na uratibu wa pamoja na kulinda usalama wa mpaka wa baharini wa nchi hizo.
-
Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran: Majeshi ajinabi yaondoke katika eneo
Jul 01, 2021 03:21Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Kamanda wa Jeshi la Majini la Ufaransa katika Kikao cha Majeshi ya Majini ya nchi za Kandokando ya Bahari ya Hindi (IONS) ambacho kimefanyika katika kisiwa cha Ufaransa cha Réunion kusini mwa Bahari ya Hindi.
-
Admeri Khanzadi: Adui hana ubavu wa kuhujumu maji ya Iran
Apr 16, 2021 03:34Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui hawana ubavu wala uthubutu wa kuhujumu maji ya taifa hili.
-
Njama za Trump za kuzusha mizozo na kutishia amani na usalama wa Ghuba ya Uajemi
Apr 23, 2020 12:56Baada ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia mwezi Mei mwaka 20018, ilianza kutekeleza siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran.
-
Iran, Russia na China zaanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Bahari ya Hindi
Dec 27, 2019 09:51Mazoezi ya kijeshi ya baharini yanayoshirikisha majeshi ya majini ya nchi tatu za Iran, Russia na China yameanza leo Ijumaa kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa kaulimbiu ya "Amani, Urafiki na Usalama Endelevu Chini ya Kivuli cha Ushirikiano na Umoja".