-
Askari watatu wa Marekani wauawa Iraq katika shambulio dhidi ya kituo cha anga cha Ainul-Asad
Mar 03, 2021 13:47Vyombo vya habari vyenye mfungamano na makundi ya muqawama ya Iraq vimetangaza kuwa, askari watatu wa Marekani wameuawa katika shambulio dhidi ya kituo cha anga cha Ainul-Asad kilichoko mkoani Al Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani
Nov 07, 2020 10:14Kama ilivyokuwa imetabiriwa awali, uchaguzi wa mwaka huu wa rais wa Marekani ambao ulifanyika tarehe 3 mwezi huu wa Novemba umekuwa moja ya chaguzi zenye utata mkubwa zaidi katika historia ya nchi hiyo, uchaguzi ambao taathriza zake bila shaka zitabakia kwa muda mrefu katika uwanja wa siasa za nchi hiyo.
-
Helikopta za Marekani zanaswa zikiwasafirisha magaidi wa DAESH (ISIS) kutoka Syria na kuwapeleka Iraq
May 04, 2020 14:09Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya An-Nujabaa ya Iraq imetoa mkanda wa vidio unaoonyesha jinsi helikopta za jeshi la Marekani zinavyowahamisha kutoka Syria na kuwapeleka Iraq magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Maelfu ya wanawake kuandama baada ya kuapishwa Donald Trump
Nov 14, 2016 15:30Wanawake zaidi ya 66,000 wa Marekani wametangaza kuwa wapo tayari kushiriki katika maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika Januari 21 mwakani, siku moja baada ya kuanza kazi rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump katika Ikulu ya White House.