Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari

    Feb 19, 2019 03:57

    Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu asubuhi mjini Tehran alikutana na kundi la wananchi kutoka katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki wa kaskazini magharibi mwa Iran na kusema mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: 22 Bahman ni dhihirisho la taifa la Iran katika kumshinda adui

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: 22 Bahman ni dhihirisho la taifa la Iran katika kumshinda adui

    Feb 09, 2019 04:42

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Maadhimisho ya Mwaka wa Arubaini wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu mwaka huu yatakuwa na umuhimu mkubwa kutokana na sera za Marekani za kueneza shari na kuibua migogoro. Ameongeza kuwa: "22 Bahman (11 Februari) mwaka huu, kwa uwezo wake Mwneyezi Mungu, itakuwa siku ya kihistoria na kwa maana halisi itamsambaratisha adui."

  • Nukta za ushindi wa taifa la Palestina kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi

    Nukta za ushindi wa taifa la Palestina kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi

    Jan 01, 2019 04:35

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina itaendelea kuwa taifa lenye nguvu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, katika kipindi si cha mbali sana taifa hilo litaweza kupata ushindi kamili.

  • Kiongozi Muadhamu: Umoja, mshikamano na kauli moja; njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake

    Kiongozi Muadhamu: Umoja, mshikamano na kauli moja; njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake

    Nov 26, 2018 14:48

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake ni kudumisha umoja, mshikamano na kuwa na kauli moja.

  • Nguvu, uhuru wa kiutamaduni na irada imara; nukta tatu zenye kuleta fahari za wanamichezo wa Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Nguvu, uhuru wa kiutamaduni na irada imara; nukta tatu zenye kuleta fahari za wanamichezo wa Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Nov 15, 2018 06:37

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano asubuhi alihutubu katika hadhara ya msafara wa wanamichezo wa Iran waliotwaa medali na washindi wa michezo ya Para Asia 2018 iliyofanyika nchini Indonesia.

  • Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kuwa na uhusiano wa kielimu na nchi zenye kasi ya maendeleo

    Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kuwa na uhusiano wa kielimu na nchi zenye kasi ya maendeleo

    Oct 17, 2018 11:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kuweko uhusiano wa kielimu baina ya Iran na nchi zilizoko kwenye mkondo wa ustawi na maendeleo makubwa.

  • Kiongozi wa Mapinduzi atoa mwito wa kuboreshwa hati ya maendeleo inayofuata kigezo cha Uislamu na Iran

    Kiongozi wa Mapinduzi atoa mwito wa kuboreshwa hati ya maendeleo inayofuata kigezo cha Uislamu na Iran

    Oct 14, 2018 12:48

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa mwito wa kuboreshwa na kukamilishwa hati ya malengo ya maendeleo inayofuata misingi ya Uislamu na Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Hakuna mkwamo wala tatizo lolote nchini lisiloweza kutatuliwa

    Kiongozi Muadhamu: Hakuna mkwamo wala tatizo lolote nchini lisiloweza kutatuliwa

    Oct 11, 2018 12:36

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa hakuna mkwamo wala tatizo lolote nchini lisiloweza kutatuka.

  • Sifa za kipekee za kituo cha ulinzi wa anga Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Sifa za kipekee za kituo cha ulinzi wa anga Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Sep 03, 2018 06:20

    "Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran, ni sehemu muhimu ya majeshi kwani iko katika mstari wa mbele wa kukabiliana na maadui wa Iran."

  • Kiongozi: Jeshi la Iran lijiimarishe hata kama hakuna uwezekano wa vita

    Kiongozi: Jeshi la Iran lijiimarishe hata kama hakuna uwezekano wa vita

    Sep 02, 2018 08:41

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesema uwezekano wa kuanzishwa vita vya kijeshi dhidi ya Iran ni mdogo sana kwa kuzingaita hali ya hivi sasa ya kisiasa, lakini pamoja na hayo Majeshi ya Iran yanapaswa kuendelea kujiimarisha kwa mtazamo wa nguvu kazi na zana za kivita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS