Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Hizbullah: Vitisho vya US dhidi ya Kiongozi Muadhamu vitateketeza eneo lote

    Hizbullah: Vitisho vya US dhidi ya Kiongozi Muadhamu vitateketeza eneo lote

    Jan 24, 2026 00:01

    Tawi la Kisiasa la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon limeonya kwamba, vitisho vya maneno vya Marekani dhidi ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei vinaweza kushadidisha mvutano katika eneo la Asia Magharibi.

  • "Jeshi la Iran litakata 'mkono wowote wa chokochoko' dhidi ya Kiongozi Muadhamu"

    Jan 20, 2026 23:44

    Afisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Iran amepuuzilia mbali vitisho vya maneno vya hivi karibuni vya Rais wa Marekani Donald Trump, akionya kwamba, hatua yoyote ya uadui itakayoelekezwa kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei itakabiliwa na kisasi kikubwa cha kijeshi.

  • Kiongozi Mkuu: Jamhuri ya Kiislamu imebatilisha mantiki potofu ya Magharibi kuhusu mwanamke

    Kiongozi Mkuu: Jamhuri ya Kiislamu imebatilisha mantiki potofu ya Magharibi kuhusu mwanamke

    Dec 03, 2025 10:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameashiria mwenendo wa Magharibi wa kukazania kueneza utamaduni wake potofu duniani na kueleza kwamba: "wao wanadai kuwa mipaka maalumu iliyowekwa kwa ajili ya mwanamke, ikiwemo hijabu, vitazuia maendeleo yake,

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Mzozo uliopo kati ya Iran na Marekani ni wa dhati halisi na wa migongano ya maslahi

    Kiongozi wa Mapinduzi: Mzozo uliopo kati ya Iran na Marekani ni wa dhati halisi na wa migongano ya maslahi

    Nov 03, 2025 09:55

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, mzozo uliopo kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani ni wa "dhati halisi" na wala hautokani na kauli mbiu; na chimbuko lake liko kwenye mgongano wa kimsingi wa maslahi; na akaeleza bayana kwamba, suala la ushirikiano na Marekani linaweza kuja kufikiriwa siku za usoni na si sasa hivi wala katika muda wa karibu,

  • Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran akutana na Putin, ampa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu

    Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran akutana na Putin, ampa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu

    Oct 17, 2025 03:58

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani amekutana na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow, na kumkabidhi ujumbe wa moja kwa moja kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

  • Kiongozi wa Mapinduzi aipongeza timu ya miereka kwa kutwaa ubingwa wa dunia

    Kiongozi wa Mapinduzi aipongeza timu ya miereka kwa kutwaa ubingwa wa dunia

    Sep 17, 2025 10:21

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameipongeza timu ya taifa ya Iran ya mchezo wa miereka ya freestyle kwa kutwaa taji la ubingwa wa dunia katika Mashindano ya Miereka ya Dunia ya 2025 yaliyofanyika mjini Zagreb, Croatia.

  • Mwanasiasa wa India amhutubu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Tuna bahati ya kuzaliwa katika zama zako

    Mwanasiasa wa India amhutubu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Tuna bahati ya kuzaliwa katika zama zako

    Jun 30, 2025 23:02

    Mwanasiasa mashuhuri wa India amesema katika ujumbe wake kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: "Tuna bahati ya kuzaliwa katika zama zako."

  • Ayatullah Khamenei: Utawala wa Kizayuni nusura kusambaratika kabisa kufuatia mapigo makali ya jeshi la Iran

    Ayatullah Khamenei: Utawala wa Kizayuni nusura kusambaratika kabisa kufuatia mapigo makali ya jeshi la Iran

    Jun 26, 2025 12:35

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa tatu kupitia televisheni ya taifa kwa wananchi wa Iran akiwashukuru na kuwapongeza kwa msimao wao wa kutetea na kuunga mkono kwa dhati mfumo wa Mapinduzi ya Kiislamu, hasa baada ya kushambuliwa na utawala haramu wa Israel kwa uungaji mkono na msaada wa moja kwa moja wa Marekani.

  • Kiongozi Muadhamu katika ujumbe wa Hija: Mataifa ya Kiislamu lazima yakabiliane na jinai za Wazayuni

    Kiongozi Muadhamu katika ujumbe wa Hija: Mataifa ya Kiislamu lazima yakabiliane na jinai za Wazayuni

    Jun 05, 2025 03:49

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe muhimu kwa mnasaba wa msimu wa Hija ya mwaka huu; ambapo ameitaja Hija kuwa ibada ya kuhajiri kutoka katika maisha ya kimaada na kwenda katika maisha ya tauhidi na kumpwekesha Allah.

  • Kiongozi Muadhamu: Matamshi ya Trump ni fedheha kwa taifa la Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Matamshi ya Trump ni fedheha kwa taifa la Marekani

    May 17, 2025 07:53

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amekosoa matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani na kuyataja kuwa ni "fedheha" kwa taifa la Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS