-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aupongeza msafara wa michezo ya Paralimpiki
Sep 19, 2016 09:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa msafara wa michezo ya Paralimpiki wa "Mashahidi wa Mina" na kueleza kwamba:"Mliyofanya ni ya kujivunia na mumelifurahisha taifa la Iran".
-
Kiongozi Muadhamu: Kutoiamini hata chembe Marekani ni sehemu ya nguvu laini za Iran
Sep 18, 2016 10:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ni "ngome imara ya Mapinduzi" na "chombo muhimu cha kulinda usalama wa ndani na nje".
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi aonana na maafisa wa Kituo cha Takwimu cha Iran
Sep 13, 2016 09:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa takwimu na taarifa sahihi, zenye muelekeo na za kisayansi ni msingi mkuu wa uchukuaji maamuzi ya kiutendaji kwa ajili ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa Hija; ukumbusho wa jinai za Aal Saud
Sep 06, 2016 02:14Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatatu alituma ujumbe maalumu kwa mnasaba wa ibada adhimu ya Hija na kueleza kwamba msimu wa Hija kwa Waislamu ni msimu wa kujivunia na wa adhama mbele ya macho ya viumbe; na ni msimu wa kunawirisha nyoyo na kudhihirisha khushuu na unyenyekevu mbele ya Muumba.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuimarishwa uwezo wa kujihami na kushambulia
Sep 01, 2016 03:20Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran siku ya Jumatano alisisitiza ulazima wa nchi hii kujiimarisha katika sekta za kujihami na kumshambulia adui.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu ulazima wa kudhoofisha azma ya adui ya kutaka kuishambulia Iran
Aug 29, 2016 08:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, adui anapaswa ajue kwamba, kama atajaribu kuishambulia Iran atapata kipigo kikali. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameyasema hayo katika mkutano na makamanda na maafisa wa Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi cha Khaatamul-Anbiyaa.
-
Kiongozi Muadhamu: Kambi inayokabiliana na Iran ni ya makhabithi
Aug 28, 2016 10:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, adui anapaswa kufahamu kuwa, kama atajaribu kuishambulia Iran, atapata pigo kubwa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza wanamichezo wa Iran
Aug 23, 2016 12:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewapongeza wanamichezo waliotwaa medali, wanamichezo wengine wote pamoja na makocha wa msafara wa wanamichezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walioshiriki kwenye mashindano ya Olimpiki ya Rio 2016.
-
Ayatullah Khamenei: Marekani, chanzo cha ugaidi, vita katika ulimwengu wa Kiislamu
Jul 06, 2016 09:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema chanzo kikuu cha vita, ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia na Ulimwengu wa Kiislamu ni madola makubwa ya kiistikbari yakiongozwa na Marekani.
-
Ayatullah Khamenei: Iran haina haja ya kuwa na uhusiano na Marekani
Jul 03, 2016 03:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepuuzilia mbali madai ya Washington kuwa iko tayari kufanya mazungumzo na Iran juu ya masuala mbalimbali ya kieneo.