Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Kiongozi Muadhamu awausia viongozi wa serikali kufuata mwenendo wa Imam Ali (as)

    Kiongozi Muadhamu awausia viongozi wa serikali kufuata mwenendo wa Imam Ali (as)

    Jun 23, 2016 00:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alasiri ya jana alikutana na kuhutubia baraza la mawaziri kabla ya dhifa ya chakula cha futari ambapo alieleza vipengee kadhaa vya hekima za Imam Ali bin Abi Twalib (as) zilizoandikwa katika kitabu cha Nahjul Balagha.

  • Kiongozi Muadhamu ataja vipaumbele vya Bunge la Iran

    Kiongozi Muadhamu ataja vipaumbele vya Bunge la Iran

    Jun 05, 2016 10:57

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uchumi wa kimuqawama, utamaduni na kufuatilia siasa za ndani ya nchi, za kieneo na za kimataifa ndivyo vipaumbele vikuu vya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).

  • Dafina za Imam Khomeini kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Dafina za Imam Khomeini kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Jun 04, 2016 00:04

    Leo Ijumaa, taifa zima la Iran na wapenzi na wafuasi wa njia na fikra za Imam Khomeini MA wameshiriki kwa namna moja au nyinginekatika kumbukumbu za mwaka wa 27 wa kuomboleza siku alipofariki duniani mwanachuoni na shakhsia huyo mkubwa.

  • Kiongozi Muadhamu awataka wananchi kudumisha

    Kiongozi Muadhamu awataka wananchi kudumisha "moyo wa kimapinduzi"

    Jun 03, 2016 03:43

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa wananchi kulinda na kudumisha "moyo wa kimapinduzi" uliowatimua maadui nje ya nchi miaka 38 iliyopita.

  • Vipaumbele vya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi

    Vipaumbele vya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi

    May 28, 2016 08:54

    Duru ya kumi ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imeanza rasmi leo Jumamosi katika sherehe iliyoambatana na ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Baraza la Tano la Wanazuoni wa Kumchagua Kiongozi lazinduliwa kwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu

    Baraza la Tano la Wanazuoni wa Kumchagua Kiongozi lazinduliwa kwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu

    May 24, 2016 11:53

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema jukumu la Baraza la Wanazuoni Wataalamu wa Kumchagua Kiongozi Mkuu ni kulinda kwa umakini na kwa hali zote utambulisho wa Kiislamu na Kimapinduzi wa Mfumo.

  • Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika maadhimisho ya Kubaathiwa Mtume (saw)

    Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika maadhimisho ya Kubaathiwa Mtume (saw)

    May 05, 2016 09:15

    Kupambana na harakati ya ujahili, ndilo jukumu muhimu zaidi la Umma wa Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Uhusiano wa Iran na Korea Kusini lazima uendelee

    Kiongozi Muadhamu: Uhusiano wa Iran na Korea Kusini lazima uendelee

    May 03, 2016 00:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitizia umuhimu wa kuendelezwa uhusiano imara na usioweza kuathiriwa na vikwazo na uhasama wa Marekani baina ya Iran na Korea Kusini,.

  • Ayatullah Khamenei: Ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kigezo cha maendeleo cha Kiislamu

    Ayatullah Khamenei: Ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kigezo cha maendeleo cha Kiislamu

    Apr 25, 2016 12:07

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu.

  • Mazungumzo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Waziri Mkuu wa Italia

    Mazungumzo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Waziri Mkuu wa Italia

    Apr 13, 2016 08:38

    Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi, ambaye yuko safarini hapa nchini jana alionana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS