Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Ayatullah Khamenei: Ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kigezo cha maendeleo cha Kiislamu

    Ayatullah Khamenei: Ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kigezo cha maendeleo cha Kiislamu

    Apr 25, 2016 12:07

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu.

  • Mazungumzo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Waziri Mkuu wa Italia

    Mazungumzo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Waziri Mkuu wa Italia

    Apr 13, 2016 08:38

    Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi, ambaye yuko safarini hapa nchini jana alionana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

  • Kiongozi Muadhamu asisitiza udharura wa kupambana na ugaidi

    Kiongozi Muadhamu asisitiza udharura wa kupambana na ugaidi

    Apr 12, 2016 12:23

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, madola yanayodai kupambana na ugaidi hususan Marekani hayana nia ya kweli katika uwanja huo.

  • Ayatullah Khamenei: Sera za uchumi ngangari zitekelezwe ipasavyo

    Ayatullah Khamenei: Sera za uchumi ngangari zitekelezwe ipasavyo

    Apr 07, 2016 02:50

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amekutana na kuhutubia hadhara ya maafisa wa mihimili mitatu ya dola na kusisitiza kuwa ataunga mkono kwa nguvu zote hatua yoyote yenye manufaa na ya dharura kwa ajili ya maslahi ya taifa, na kwa ajili ya kutatua matatizo ya wananchi.

  • Rais Rouhani amtumia Kiongozi Muadhamu salamu za mwaka mpya wa Hijria Shamsia

    Rais Rouhani amtumia Kiongozi Muadhamu salamu za mwaka mpya wa Hijria Shamsia

    Mar 21, 2016 11:47

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa mkono wa kheri na fanaka Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwadia mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia.

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1395 Hijria Shamsia

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1395 Hijria Shamsia

    Mar 20, 2016 13:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuelezea mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia kuwa ni mwaka uliochanganyika "matamu na machungu", "mipando na mishuko" na kujumuisha "fursa na vitisho".

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1395 Hijria Shamsia

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1395 Hijria Shamsia

    Mar 20, 2016 12:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuelezea mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia kuwa ni mwaka uliochanganyika "matamu na machungu", "mipando na mishuko" na kujumuisha "fursa na vitisho".

  • Kiongozi Muadhamu: Nchi zinazojitegmea zishirikiane zaidi

    Kiongozi Muadhamu: Nchi zinazojitegmea zishirikiane zaidi

    Mar 15, 2016 13:42

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito wa kushirikiana zaidi nchi zinazojitegemea duniani.

  • Kiongozi Muadhamu: Vita vya Mashariki ya Kati ni vya kisiasa tu

    Kiongozi Muadhamu: Vita vya Mashariki ya Kati ni vya kisiasa tu

    Mar 10, 2016 13:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wananchi wa Iran wameonesha kivitendo imani yao kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi uliofanyika nchini hivi karibuni.

  • Maziko ya mtegeneza filamu mashuhuri wa Iran

    Maziko ya mtegeneza filamu mashuhuri wa Iran

    Feb 28, 2016 23:05

    Maziko ya mtengeneza filamu mashuhuri wa Iran, Farajullah Salahshur yalifanyika jana Jumapili kwa kushiriki idadi kubwa ya wapenzi wa tasnia ya filamu hapa nchini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS