-
Wasiwasi wa kimataifa kuhusu hali ya wafungwa wa Kipalestina
Aug 13, 2016 11:40Katika kuendelea wasiwasi wa kimataifa kuhusu hali mbaya ya wafungwa wa Kipalestina wanaoendelea kuteseka katika jela za utawala wa kibaguzi wa Israel, Shirika la Msamaha Duniani sawa na mashirika mengine eti ya kutetea haki za binadamu ya nchi za Magharibi ambayo kwa kawaida hunyamazia kimya jinai za Israel dhidi ya raia wa Palestina, mara hii limeutaka utawala huo umuachie huru Bilal Kayed mfungwa wa Kipalestina ambaye amegoma kula chakula tangu miezi miwili iliyopita.
-
ZDF yaikosoa Israel kwa kuwafunza watoto jinsi ya kuwaua Wapalestina
Jul 12, 2016 03:46Televisheni ya Ujerumani ya ZDF imeonesha filamu inayoukosoa utawala haramu wa Isarel kwa kuwafundisha watoto mashuleni chuki na jinsi ya kuwadhalilisha na kuwaua Wapalestina.
-
Kijana Mpalestina adukua ripoti za ndege isiyo na rubani ya Israel ikiwa angani
Mar 25, 2016 07:01Mwendesha mashtaka wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, amemfungulia mashtaka Majid Jawad Aweidha, mwanachama wa Harakati ya Jihadul-Islami kwa kudukua ripoti za siri za ndege isiyo na rubani ya utawala huo kupitia computer.
-
Wapalestina wengine wawili wauawa shahidi na jeshi la Israel
Mar 17, 2016 14:00Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina wengine wawili wauwa shahidi na jeshi la Israel
Mar 17, 2016 13:59Jeshi katili la utawala wa kizayuni wa Israel limeua shahidi vijana wawili wa Kipalestina, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.