-
Pelosi: Wote waliochochea na kuongoza kuvamiwa Congress ya Marekani watafuatiliwa kisheria
Jan 17, 2021 02:21Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema kuwa, yeyote aliyehusika na kuvamiwa jengo la Congress la nchi hiyo hata kama ni mbunge atafuatiliwa kisheria.
-
Muswada wa kumzuia Trump kuingia Congress maisha yake yote
Jan 15, 2021 14:19Mbunge wa chama cha Democrat wa jimbo la Georgia amewasilisha bungeni muswada ambao iwapo itapitishwa utamzuia Rais Donald Trump wa Marekani kuweka mguu wake katika Congress ya nchi hiyo.
-
Kuanza mwenendo wa kusailiwa Trump
Jan 11, 2021 13:11Hujuma ya tarehe 6 mwezi huu ya wakereketwa na wafuasi sugu wa Rais Donald Trump katika Congress ya Marekani imezua radiamali kali katika nchi hiyo na sasa Wamarekani wanataka rais huyo achukuliwe hatua za kisheria, na tayari Wademokrat wameanzisha mwenendo wa kusailiwa kwake bungeni.
-
Hitilafu za kisiasa zaongezeka nchini Marekani kuhusu makabiliano na Corona
Mar 26, 2020 05:28Kuenea virusi vya Corona na ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani si tu kwamba kumekuwa na taathira kubwa za kiuchumi na kijamii, bali pia kumegeuka na kuwa mjadala mkubwa ndani ya Bunge la Kongresi na ikulu ya White House.
-
Utabiri wa kupungua asilimia 24 ya pato ghafi la ndani Marekani kwa sababu ya corona
Mar 22, 2020 07:00Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 yameathiri sana uchumi wa dunia na kuacha taathira kubwa hasi kwa uchumi wa Marekani. Utabiri unaonyesha kuwa, uchumi wa Marekani unakabiliwa na hali ngumu kupita kiasi.
-
Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa "Muamala wa Karne" wa Trump
Feb 09, 2020 02:37Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzindua mpango kwa jina la 'Muamala wa Karne' tarehe 28 Januari mwaka huu ambao umewasilishwa eti kwa ajili ya kutatua mzozo wa muda mrefu kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni, umepingwa vikali ndani na nje ya Marekani.
-
Maseneta wa Marekani wataka kusimamishwa ushirikiano wa nyuklia wa nchi hiyo na Saudi Arabia
Sep 21, 2019 04:29Ikiwa ni katika kudumisha uungaji mkono wake kwa utawala wa Saudi Arabia na kinyume na sheria za Marekani zinazobainisha wazi masharti na misingi ya ushirikiano wa nyuklia na nchi za kigeni, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo imekuwa ikifanya mazungumzo na watawala wa Saudia kwa ajili ya kujenga vituo vya nyuklia katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Juhudi mpya za Kongresi za kutaka kuzuia himaya ya Trump kwa Saudia na washirika wake, Yemen
Sep 04, 2019 04:30Marekani imekuwa na nafasi kubwa sana katika vita na mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake huko Yemen kutokana na misaada ya himaya yake ya kilojistiki, kipelelezi na zana za kivita kwa muungano huo. Suala hilo sambamba na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kifalme wa Saudia, vimezidisha malalamiko na upinzani dhidi ya misaada na ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Saudia na washiriki wake katika vita vya Yemen.
-
Wabunge Waislamu wa Marekani watamka hadharani kuwa iko siku ya karibu wataizuru Palestina ikiwa huru
Aug 19, 2019 02:43Wabunge wawili Waislamu katika Kongresi ya Marekani, ambao wamezuiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu wametangaza hadharani kuwa, iko siku ya karibu mno, wataitembelea Palestina ikiwa huru.
-
Trump aupiga veto muswada wa Congress wa kupiga marufuku uuzaji silaha kwa Saudia na Imarati
Jul 26, 2019 01:36Katika juhudi za kuzifanya siasa zake za nje kuwa za kibiashara zaidi, Rais Donald Trump wa Marekani amelipa kipaumbele suala la mauzo ya silaha za nchi hiyo.