-
Viongozi wa Korea mbili wakutana katika tukio la kihistoria
Apr 26, 2018 23:59Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un na mwenzake wa Korea Kusini, Moon Jae-in wamekutana na kufanya mazungumzo mapema leo Ijumaa katika kijiji cha Panmunjom kwenye eneo la mpaka wa nchi hizo mbili la Demilitarized. Mazungumzo haya yanatajwa kuwa ya kihistoria.
-
Korea Kusini yasitisha programu ya kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini
Apr 24, 2018 02:59Serikali ya Korea Kusini imetangaza kusimamisha programu ya kueneza propaganda mbaya dhidi ya jirani yake Korea Kaskazini.
-
Viongozi wa Korea mbili wafungua njia ya mawasiliano ya moja kwa moja kati yao
Apr 20, 2018 09:31Msemaji wa Ikulu ya Rais nchini Korea Kusini, ametangaza habari ya kufunguliwa njia ya moja kwa moja ya mawasiliano kati ya Rais Moon Jae-in na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un.
-
Uungaji mkono wa Korea Kaskazini kwa makubaliano ya nyuklia ya Iran (JCPOA)
Apr 19, 2018 05:51Serikali ya Korea Kaskazini imeyataja makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa jina la Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), kuwa ni makubaliano muhimu ya kimataifa kati ya Iran na kundi la 5+1, na kutangaza kuwa inaunga mkono makubaliano hayo yaendelee kutekelezwa.
-
Radiamali ya Korea Kaskazini dhidi ya uwepo wa kijeshi wa Uingereza katika Peninsula ya Korea
Apr 17, 2018 20:54Korea Kaskazini imesema kuwa hatua ya Uingereza kutuma manowari zake katika Peninsula ya Korea ni sawa na kutangaza vita dhidi ya nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini: Marekani iache vitisho vya kujiondoa katika makubaliano ya JCPOA
Apr 17, 2018 09:58Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kuunga mkono Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuyataja kuwa makubaliano ya kimataifa na muhimu zaidi kati ya Iran na kundi la 5+1, imeikosoa mwenendo wa serikali ya Marekani wa kuendelea kutishia kujitoa katika makubaliano hayo.
-
Korea Kaskazini: Hatua ya Uingereza kutuma meli za kijeshi eneo la Korea ni sawa na kututangazia vita
Apr 16, 2018 12:51Serikali ya Korea Kaskazini imeonyesha kukasirishwa na hatua ya Uingereza ya kutuma meli zake za kivita katika Rasi ya Korea na kuitaja hatua hiyo kuwa ni sawa na kutangaza vita.
-
Guterres: Kufukuzwa wanadiplomasia wa Russia kunakumbusha kipindi cha Vita Baridi
Mar 29, 2018 22:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusiana na hatua ya baadhi ya nchi za Magharibi ya kuwafukuza wanadiplomasia wa Russia na kusema hali hiyo inakumbusha kipindi cha Vita Baridi.
-
Viongozi wa Korea mbili kukutana mwishoni mwa mwezi ujao
Mar 29, 2018 10:23Korea Kaskazini na Korea Kusini zimetangaza kuwa viongozi wa nchi mbili hizo jirani watakutana na kufanya mazungumzo tarehe 27 mwezi Aprili mwaka huu.
-
Kukutana kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Xi Jinping wa China
Mar 29, 2018 05:03Kwa mara ya kwanza tangu ingie madarakani Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekutana na Rais Xi Jinping wa China mjini Beijing ambapo pande mbili zimezungumzia masuala ya uhusiano wa nchi mbili na kadhalika mabadiliko ya eneo la Korea.