Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Korea Kaskazini: Haitowezekana kuachana na silaha za nyuklia tulizozipata kwa tabu

    Korea Kaskazini: Haitowezekana kuachana na silaha za nyuklia tulizozipata kwa tabu

    Nov 15, 2017 04:43

    Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba, ni suala lisilowezekana kuachana na uwezo wa silaha zake za nyuklia uliopatikana kwa tabu, kwa sababu tu ya mashinikizo na vikwazo dhidi yake.

  • Korea Kaskazini: Safari ya Trump mashariki mwa Asia haina faida yoyote

    Korea Kaskazini: Safari ya Trump mashariki mwa Asia haina faida yoyote

    Nov 09, 2017 14:52

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa radiamali kufuatia vitisho vipya vya Rais Donald Trump wa Marekani katika safari yake ya kutembelea eneo la mashariki mwa Asia.

  • Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini

    Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini

    Nov 08, 2017 07:50

    Kamati ya masuala ya benki ya baraza la Senate la Marekani, usiku wa kuamkia leo Jumatano imepasisha muswada wa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo vikali zaidi vya benki.

  • Korea Kaskazini: Trump mzee kichaa, lini ataanzisha vita vya nyuklia?

    Korea Kaskazini: Trump mzee kichaa, lini ataanzisha vita vya nyuklia?

    Nov 07, 2017 14:40

    Gazeti la chama tawala nchini Korea Kaskazini la Roodong Simon limemtaja Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ni 'mzee kichaa'.

  • Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini waandamana dhidi ya Trump

    Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini waandamana dhidi ya Trump

    Nov 05, 2017 14:47

    Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini wamefanya maandamano ya kukashifu kile wanachotaja kama chokochoko za Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Asia, dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Wizara ya Nje ya Marekani yataka kuzungumza na Korea Kaskazini licha ya vitisho vya Trump

    Wizara ya Nje ya Marekani yataka kuzungumza na Korea Kaskazini licha ya vitisho vya Trump

    Nov 02, 2017 04:12

    Afisa mmoja wa ngazi ya juu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, nchi hiyo inafanya juhudi kubwa kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini.

  • Katibu Mkuu wa Nato atahadharisha kuhusu vita na Korea ya Kaskazini

    Katibu Mkuu wa Nato atahadharisha kuhusu vita na Korea ya Kaskazini

    Oct 31, 2017 07:14

    Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amezitahadharisha nchi zote husika kuhusu kupigana vita na Korea ya Kaskazini.

  • Kamanda wa Marekani: Korea Kaskazini ina silaha za kushambulia eneo lolote Marekani

    Kamanda wa Marekani: Korea Kaskazini ina silaha za kushambulia eneo lolote Marekani

    Oct 30, 2017 04:53

    Shirika moja la siri nchini Marekani linalojishughulisha na kufuatilia uzito wa makombora ya Korea Kaskazini limemnukuu kamanda mmoja wa jeshi la nchi hiyo kwa mara ya kwanza akisema kuwa ni suala gumu kwa Marekani kuweza kuishambulia Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini: Marekani ndio iliyoanzisha mchezo wa nyuklia, tutakabiliana nayo

    Korea Kaskazini: Marekani ndio iliyoanzisha mchezo wa nyuklia, tutakabiliana nayo

    Oct 21, 2017 16:27

    Afisa wa ngazi ya juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini amesema kuwa, Pyongyang itaendelea kujiimarisha zaidi kwa silaha za nyuklia kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya Marekani.

  • Korea Kaskazini: Vita ya nyuklia vinaweza kutokea wakati wowote ule

    Korea Kaskazini: Vita ya nyuklia vinaweza kutokea wakati wowote ule

    Oct 19, 2017 04:03

    Mwakilishi wa kamisheni kuu ya Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ni suala linalowezekana sana kutokea kwa vita vya nyuklia katika Rasi ya Korea, kutokana na kuendelea maneva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS