Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Umoja wa Ulaya: Tutaiwekea vikwazo na mashinikizo zaidi Korea Kaskazini

    Umoja wa Ulaya: Tutaiwekea vikwazo na mashinikizo zaidi Korea Kaskazini

    Oct 17, 2017 08:16

    Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametangaza azma ya umoja huo ya kuzidisha vikwazo na mashinikizo zaidi ya kiuchumi dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini: Trump ni mfanyabiashara wa vita na mnyongaji wa amani duaniani

    Korea Kaskazini: Trump ni mfanyabiashara wa vita na mnyongaji wa amani duaniani

    Oct 15, 2017 17:13

    Serikali ya Korea Kaskazini imejibu matamshi ya uhasama ya Rais Donald Trump wa Marekani kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema kuwa, Trump ni mfanyabiashara wa vita na mnyongaji wa amani duaniani.

  • Korea Kaskazini yaionya Australia dhidi ya kushirikiana na Marekani

    Korea Kaskazini yaionya Australia dhidi ya kushirikiana na Marekani

    Oct 15, 2017 07:57

    Korea Kaskazini imeionya Australia kuwa inajitafutia balaa kwa kushirikiana na Marekani na Korea Kusini kuishinikiza Pyongyang iachane na mipango yake ya nyuklia na makombora ya balestiki.

  • Pendekezo la China kwa Marekani na Korea Kaskazini kuhitimisha vitisho vyao

    Pendekezo la China kwa Marekani na Korea Kaskazini kuhitimisha vitisho vyao

    Oct 14, 2017 07:57

    Katika hali ambayo mgogoro na vitisho kuhusiana na Peninsula ya Korea bado vinaendelea kati ya Marekani na Korea Kaskazini, Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeitaka Washington na Pyongyang kuachana na vitisho hivyo na kukomesha mwenendo wa kuharibu hali ya eneo hilo.

  • US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    Oct 11, 2017 08:19

    Kwa mara nyingine tena Marekani imefanya maneva ya kijeshi kwa kushirikiana na Korea Kusini na Japan katika Peninsula Korea.

  • Uingereza yajipanga kupigana na Korea ya Kaskazini

    Uingereza yajipanga kupigana na Korea ya Kaskazini

    Oct 10, 2017 03:07

    Gazeti moja linalochapishwa nchini Uingereza limeashiria kupamba moto mivutano ya maneno kati ya Marekani na Korea ya Kaskazini na kuandika kuwa Uingereza yenyewe inajiandaa kuhusu uwezekano wa kujiri vita kati yake na Pyongyang.

  • Kim Jong-un: Vikwazo vya UNSC havitaizuia Korea Kaskazini kuendelea kuunda silaha zake

    Kim Jong-un: Vikwazo vya UNSC havitaizuia Korea Kaskazini kuendelea kuunda silaha zake

    Oct 09, 2017 15:00

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema kuwa nchi yake itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na makombora ya balestiki ya kuvuka mabara.

  • Obama: Diplomasia ni njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea

    Obama: Diplomasia ni njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea

    Oct 06, 2017 08:01

    Rais msataafu wa Marekani, Barack Obama amesema kuwa udiplomasia ndiyo njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea na si nguvu ya kijeshi.

  • Russia yatahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi  na Korea ya Kaskazini

    Russia yatahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea ya Kaskazini

    Oct 05, 2017 04:16

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang

    Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang

    Oct 03, 2017 05:02

    Serikali ya Korea Kaskazini imeutaja mkataba wa kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini kuwa ni njama ya kutaka kuishambulia nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS