-
Trump: Tillerson 'anapoteza muda wake' kujaribu kuzungumza na Korea Kaskazini, tutafanya kinachopasa kufanywa!
Oct 02, 2017 04:26Rais Donald Trump wa Marekani amesema mazungumzo ya moja kwa moja na Korea Kaskazini hayatoupatia utatuzi mkwamo wa kadhia ya nyuklia ya Pyongyang na kusisitiza kwamba waziri wake wa Mambo ya Nje Rex Tillerson "anapoteza muda wake" kutaka kufanya mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.
-
Korea Kaskazini: Yataka kutumiwa njia za amani badala ya za kijeshi kudumisha usalama katika eneo
Sep 30, 2017 04:52Serikali ya Korea Kaskazini imesema ili kuhitimisha mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea, kuna haja ya kuwekwa kando mipango ya kijeshi na kushikamana na mfumo wa amani.
-
Russia kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini
Sep 27, 2017 09:58Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, Moscow imepanga kuanza mazungumzo ya kisiasa na Korea Kaskazini kwa ajili ya kupunguza mivutano na hofu katika rasi ya Korea.
-
Wananchi wa Marekani wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini
Sep 26, 2017 02:49Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa aghalabu ya wananchi wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini.
-
Russia: Marekani haiwezi kuthubutu kuishambulia Korea Kaskazini
Sep 25, 2017 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani haithubutu kufanya shambulizi lolote dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuwa inafahamu fika kwamba Pyongyang ina mabomu ya nyuklia.
-
Tillerson: Chaguo la kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini liko mezani
Sep 23, 2017 02:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, chaguo la kijeshi la Washington dhidi ya Korea ya Kaskazini bado liko mezani.
-
Kim Jong-un: Trump ana matatizo ya kiakili, nitamfanya ajutie matamshi yake ya vitisho
Sep 22, 2017 04:45Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amejibu matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema kuwa, rais huyo wa Marekani ana matatizo ya kiakili na kwamba atalipa gharama ya matamshi yake ya vitisho dhidi ya Pyongyang.
-
Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini
Sep 18, 2017 14:16Meli za kivita za China na Russia zimeanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi karibu na Korea Kaskazini huku kukiwa na wasiwasi kuwa mvutano baina ya Marekani na Korea Kaskazini unaweza kugeuka na kuwa makabiliano ya ana kwa ana ya kijeshi.
-
Gallup: Wamarekani wengi wanataka Korea Kaskazini ishambuliwe kijeshi
Sep 16, 2017 02:36Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na taasisi ya Gallup yanaonyesha kuwa, nusu ya wananchi wa Marekani wanaunga mkono suala la kushambulia kijeshi Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yafyatua kombora jengine saa chache baada ya kutishia "kuizamisha" Japan
Sep 15, 2017 07:59Vyombo vya habari vya Japan na Korea Kusini vimetangaza kuwa Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine lililopaa juu ya kisiwa cha Japan cha Hokkaido alfajiri ya kuamkia leo saa chache baada ya kutishia kwamba itaizamisha ardhi ya Japan.