-
Gallup: Wamarekani wengi wanataka Korea Kaskazini ishambuliwe kijeshi
Sep 15, 2017 22:06Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na taasisi ya Gallup yanaonyesha kuwa, nusu ya wananchi wa Marekani wanaunga mkono suala la kushambulia kijeshi Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yafyatua kombora jengine saa chache baada ya kutishia "kuizamisha" Japan
Sep 15, 2017 03:29Vyombo vya habari vya Japan na Korea Kusini vimetangaza kuwa Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine lililopaa juu ya kisiwa cha Japan cha Hokkaido alfajiri ya kuamkia leo saa chache baada ya kutishia kwamba itaizamisha ardhi ya Japan.
-
Baraza la Usalama UN lapasisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini
Sep 11, 2017 23:21Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo kufanya jaribio lake la sita la bomu la nyuklia wiki iliyopita.
-
Madai ya uhusiano wa nyuklia wa Iran na Korea Kaskazini; kelele mpya kuhusu shughuli za nyuklia za Iran
Sep 11, 2017 06:56Afisa mmoja wa serikali ya Uingereza amedia kuwa Iran imeisaidia Korea Kaskazini kuimarisha uwezo wake wa silaha za nyuklia.
-
Korea Kaskazini: Tutaizidishia mateso na machungu Marekani, ikiendelea kutufuatilia
Sep 11, 2017 03:50Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itaendeleza njama zake ili kuongeza vikwazo dhidi yake katika Umoja wa Mataifa, basi Pyongyang itaizidishia Washington machungu na taabu.
-
Merkel: JCPOA itumiwe kama mfano wa kutatua mgogoro wa Korea Kaskazini
Sep 10, 2017 03:07Kansela wa Ujerumani amesema yuko tayari kujihusisha na jitihada za kuupatia ufumbuzi mgogoro katika Peninsula ya Korea kwa njia ya kidiplomasia na kutoa mwito wa kutumiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran kama kigezo cha kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.
-
New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA
Sep 09, 2017 12:00Gazeti la New York Times sambamba na kuvitaja kuwa vichekesho visingizio vinavyotolewa na Marekani ili kutaka kujiondoa katika mkataba wa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA, limeionya Washington kuwa itapata hasara kubwa endapo itachukua hatua hiyo.
-
Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa
Sep 08, 2017 01:57Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, kuendelea mgogoro wa hivi sasa uliojitokeza baada ya majaribio ya makombora na bomu la nyuklia ya Korea Kaskazini kunaweza kuleta maafa makubwa kwa dunia nzima.
-
Korea Kaskazini yasherehekea majaribio ya bomu la nyuklia
Sep 07, 2017 03:26Sherehe kubwa zimefanyika nchini Korea Kaskazini kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa zaidi ya bomu la nyuklia kuwahi kufanyika nchini humo.
-
Putin: Vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini havitakuwa na taathira yoyote
Sep 05, 2017 09:45Rais wa Russia Vladimir Putin ametahadharisha kuhusu kuibuka mgogoro mkubwa wa kimataifa iwapo kadhia ya Peninsula ya Korea haitasuluhishwa kwa njia ya kidiplomasia.