-
Kiongozi wa CIA amuonya Trump kutokana na matamshi yake makali dhidi ya Korea Kaskazini
Sep 04, 2017 11:39Mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA, Michael Hayden amemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na kutoa matamshi makali dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Shirika la Mkataba wa Kupiga Marufuku Majaribio ya Nyuklia limelaani jaribio la bomu la Korea ya Kaskazini
Sep 03, 2017 23:51Katibu Mkuu wa shirika hilo amelaani jaribio la karibuni lililofanywa na Korea ya Kaskazini.
-
UN yataka Korea Kaskazini isitishe majaribio ya nyuklia
Sep 03, 2017 23:43Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali jaribio la nyuklia lililofanywa Jumapili na Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kwa mafanikio bomu la nyuklia la Hydrogen
Sep 03, 2017 03:09Korea Kaskazini imefanyia majaribio kwa mafanikio bomu la nyuklia, hili likiwa ni jaribio la sita la aina hii kufanywa na Pyongyang.
-
Putin: Kuishinikiza Korea ya Kaskazini hakutakuwa na taathira
Sep 01, 2017 03:36Rais Vladimir Putin wa Russia ameishauri Marekani na waitifaki wake barani Asia kutochukua hatua za kuishinikiza Korea ya Kaskazini na ametoa wito wa mazungumzo ili kuhitimisha mvutano kuhusu miradi ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini: Japan inajitafutia matatizo kwa kushirikiana na Marekani
Aug 31, 2017 03:30Serikali ya Pyongyang imetoa tahadhari kwa Japan kwamba, nchi hiyo inajitafutia matatizo kutokana na hatua yake ya kushirikiana na Marekani na lengo lake la kutaka kusimika ngao ya makombora ya AEGIS nchini humo.
-
Korea Kasazini yarusha kombora kuelekea Japan, UNSC kuitisha kikao cha dharura
Aug 29, 2017 03:08Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC kuitisha mkutano wa dharura baada ya Korea Kaskazini kuvurumisha kombora lililoruka katika anga yake na kudondoka katika pwani ya kisiwa cha Hokkaido, mashariki mwa Japan.
-
Wakaazi wa kisiwa cha Guam: Tishio halisi kwetu sisi ni Marekani, si Korea Kaskazini
Aug 27, 2017 23:28Maisha ya wakaazi wa kisiwa cha Guam na usalama wa mazingira ya kisiwa hicho vinakabiliwa na tishio kutokana na kupanuliwa vituo vya kijeshi vya Marekiani kufuatia kushadidi mivutano kati ya nchi hiyo na Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yavurumisha makombora ya balistiki
Aug 26, 2017 02:31Korea Kaskazini imevurumisha makombora matatu ya masafa mafupi ya balistiki kuelekea pwani yake ya kaskazini.
-
Korea Kaskazini: Chokochoko za Marekani zikiongezeka, tutaishambulia bila huruma
Aug 20, 2017 12:00Kwa mara nyingine serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo kali kwa Marekani kwa kusema kuwa, ikiwa siasa za uhasama na kupenda kujitanua dhidi ya Pyongyang zitaendelea na hatimaye kuisukuma nchi hiyo kuingia katika vita vya nyuklia, basi Washington itakabiliwa na mashambulizi makali.