-
China yaipa sharti Marekani kumuuzulu kamanda wake, mkabala na kuishinikiza Pyongyang
May 08, 2017 10:41China imempa sharti Rais Donald Trump wa Marekani la kumuuzulu kamanda wa vikosi vya nchi hiyo vilivyoko Korea Kusini mkabala na Beijing kuishinikiza Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yawataka raia wa Korea Kusini kususia uchaguzi ujao wa rais
May 07, 2017 23:35Gazeti la serikali ya Korea Kaskazini la Rodong Sinmun limewataka raia wa nchi jirani ya Korea Kusini kususia uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo kwa lengo la kuwaondoa madarakani watawala wenye mahusiano na Marekani.
-
Korea Kaskazini: CIA inapanga kumuua kiongozi wetu kwa silaha za kemikali
May 05, 2017 23:45Pyongyang imesema Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linapanga njama ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwa kushirikiana na Idara ya Intelijensia ya Korea Kusini.
-
China yaijibu Korea Kaskazini baada ya malalamiko ya Pyongyang dhidi yake
May 05, 2017 02:44China imetoa jibu na radiamali kwa ripoti kali iliyotolewa na Shirika rasmi la Habari la Korea Kaskazini dhidi yake na kueleza kuwa siasa zake kuhusiana na Pyongyang daima zimekuwa za insafu na usawa na zisizo za nia mbaya.
-
Onyo la Korea Kaskazini kwa China kuhusiana na silaha za nyuklia na makombora ya Pyongyang
May 05, 2017 02:43Alkhamisi ya jana serikali ya Korea Kaskazini, sambamba na kukosoa vikali siasa za Uchina kuhusiana na shughuli za nyuklia na makombora yake, ilisema kuwa, kuwa na mahusiano ya kirafiki na nchi hiyo jirani haihitaji kuipigia magoti Beijing.
-
Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani juu ya uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia baina yao
May 03, 2017 03:06Hatua ya Marekani ya kurusha ndege zake zenye uwezo mkubwa wa kushambulia kwa mabomu aina ya Supersonic B-1B Lancer kwenye anga ya Peninsula ya Korea, imeibua radiamali kali kutoka kwa Korea Kaskazini na kuifanya nchi hiyo kutangaza kuwa, hatua ya kujionyesha na utumiaji mabavu ya Washington katika eneo hilo, inakaribisha kutokea kwa vita ya nyuklia.
-
Korea Kaskazini: Ikiwa meli za US zitatukaribia, tutazigeuza kuwa vyuma chakavu
May 01, 2017 09:44Kwa mara nyingine serikali ya Korea Kaskazini imeitahadharisha Marekani kwamba, ikiwa meli za kivita za nchi hiyo zitaendelea kuwepo katika Peninsula ya Korea, basi itaziangamiza silaha za nyuklia za Washington na kuzigeuka kuwa vyuma chakavu.
-
HAMAS yaishukuru Korea Kaskazini, Wazayuni walaumiana kwa kuichokoza Pyongyang
May 01, 2017 03:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa tamko na kuipongeza Korea Kaskazini kwa msimamo wake thabiti dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Korea Kaskazini yasema itaiadhibu vikali Israel
Apr 30, 2017 02:51Korea Kaskazini imesema itauadhibu vikali utawala haramu wa Israel kwa kuthubutu kuuvunjia heshima uongozi wa nchi hiyo.
-
Korea Kusini: Tupo tayari kuzungumza na Korea Kaskazini kutatua tofauti
Apr 27, 2017 11:27Serikali ya Korea Kusini imetangaza azma yake ya kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua tofauti zilizopo baina yao.