-
Korea Kaskazini imewatia nguvuni raia 3 wa Marekani
Apr 24, 2017 03:26Katika hali ambayo taharuki ingali imetanda katika Peninsula ya Korea, serikali ya Korea Kaskazini imemtia mbaroni raia wa Marekani, na kupelekea idadi ya Wamarekani wanaozuiliwa na serikali ya Pyongyang hadi sasa kufikia watatu.
-
Indhari ya Korea Kaskazini kwa China kuhusiana na vikwazo vya kiuchumi dhidi yake
Apr 23, 2017 12:43Serikali ya Korea Kaskazini imeionya China kwamba, ikiwa itaendeleza vikwazo vya kiuchumi dhidi yake, basi uhusiano wa nchi hizo mbili utapata madhara makubwa.
-
Russia yatuma jeshi lenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini, hali yazidi kuwa tata
Apr 21, 2017 04:10Gazeti la Telegraph la nchini Uingereza limeandika kuwa, Russia imetuma wanajeshi wake wenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini kufuatia kuongezeka uwezekano wa Marekani kuivamia kijeshi Korea Kaskazini.
-
Waziri Mkuu wa Korea Kusini, atoa amri kulitaka jeshi la nchi hiyo lijiweke tayari kukabiliana na Pyongyang
Apr 20, 2017 18:10Waziri Mkuu wa Korea Kusini anayekaimu nafasi ya rais, amelitaka jeshi na vikosi vya nchi hiyo kujiweka tayari kutokana na kile alichokisema kuwa ni kushadidi kwa harakati za kijeshi za Pyongyang.
-
Majaribio mapya ya makombora ya Korea ya Kaskazini; dhihirisho la nguvu mbele ya Marekani
Apr 16, 2017 02:50Korea ya Kaskazini leo asubuhi kwa mara nyingine tena imeyafanyia majaribio makombora yake ya balistiki sambamba na kuanza hafla ya kumbukumbu ya mwaka wa 150 wa kuzaliwa mwasisi wa taifa hilo Kim Il Sung.
-
Korea Kaskazini yaonyesha kombora jipya la balestiki la SLBMs
Apr 15, 2017 07:49Katika hali ambayo taharuki imetanda katika Peninsula ya Korea , serikali ya Korea Kaskazini imezindua kombora lake jipya la balestiki la nyambizi (SLBMs).
-
Korea Kusini nayo yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki la Hyunmoo ili kuilenga Pyongyang
Apr 06, 2017 08:15Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza leo kwamba imelifanyia majaribio kombora jipya la balestiki la kilometa 800 kwa mafanikio makubwa.
-
Korea Kaskazini yarusha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan
Apr 05, 2017 07:29Korea Kaskazini imevurumisha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan, siku chache baada ya nchi hiyo kuapa kulipiza kisasi juu ya vikwazo vipya dhidi yake.
-
US yakiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuua mamilioni ya Wamarekani
Mar 30, 2017 15:45Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha za nyuklia dhidi ya Marekani.
-
Korea mbili zatunishiana misuli, kila moja yaitishia nyingine kwa jibu kali dhidi yake
Mar 28, 2017 03:55Korea Kaskazini imetangaza kwamba, imejiandaa kufanya operesheni za kujihami dhidi ya mipango ya kijeshi ya askari wa Marekani na Korea Kusini katika eneo la Peninsula ya Korea.