-
US yakiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuua mamilioni ya Wamarekani
Mar 30, 2017 11:15Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha za nyuklia dhidi ya Marekani.
-
Korea mbili zatunishiana misuli, kila moja yaitishia nyingine kwa jibu kali dhidi yake
Mar 27, 2017 23:25Korea Kaskazini imetangaza kwamba, imejiandaa kufanya operesheni za kujihami dhidi ya mipango ya kijeshi ya askari wa Marekani na Korea Kusini katika eneo la Peninsula ya Korea.
-
Korea Kaskazini: Kitendo cha Japan cha kurusha satalaiti ya ujasusi angani, ni hujuma dhidi yetu
Mar 23, 2017 11:25Serikali ya Korea Kaskazini imelaani hatua ya Japan ya kurusha angani satalaiti ya ujasusi na kuitaja kuwa ni hujuma dhidi yake.
-
Marekani: Chaguo la kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini lipo mezani
Mar 18, 2017 03:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Washington haitavumilia tena chokochoko za Korea Kaskazini na ikibidi, US itashambulia kijeshi Pyongyang.
-
Jeshi la Korea Kusini: Tumejiweka tayari na hujuma yoyote baada ya kuondolewa madarakani Rais Park Geun-hye
Mar 10, 2017 09:50Jeshi la Korea Kusini limetangaza utayarifu wake kutokana na hujuma yoyote tarajiwa ya Korea Kaskazini, baada ya kuondolewa madarakani Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo.
-
Mahakama yamuondoa madarakani rais wa Korea Kusini
Mar 10, 2017 04:21Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imeafiki uamuzi wa bunge wa kumuondoa madarakani rais wa taifa hilo Park Geun-hye.
-
Japan: Ni lazima tujiandae kukabiliana na mashambulizi tarajiwa ya Korea Kaskazini
Mar 09, 2017 04:28Waziri wa zamani wa Ulinzi Japan ametaka kuimarishwa uwezo wa kijeshi kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi tarajiwa ya Korea Kaskazini.
-
Marekani, Korea 2 na Japan ziko katika ncha ya kupigana
Mar 07, 2017 03:47Washington imeanza kutuma nchini Korea Kusini mfumo wa ulinzi wa makombora wa THAAD, baada ya Korea Kaskazini kusema kuwa, jaribio lake la hivi punde la makombora ni maandalizi kwa ajili ya kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani nchini Japan.
-
Marekani: Tupo tayari kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Korea Kaskazini, kuwalinda marafiki zetu
Feb 17, 2017 01:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, ikiwa italazimu, Washington ipo tayari kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Korea Kaskazini, kwa ajili ya kuwalinda marafiki zake wa Japan na Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini yaonya dhidi ya chokochoko za serikali mpya ya Trump
Feb 02, 2017 10:27Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo kali juu ya chokochoko za Marekani katika serikali mpya ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo.