Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Korea Kaskazini yaitaka UN kuunda tume ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa dhidi yake

    Korea Kaskazini yaitaka UN kuunda tume ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa dhidi yake

    Jan 12, 2017 11:07

    Korea Kaskazini imetoa pendekezo kwa Umoja wa Mataifa la kuundwa tume ya kimataifa itakayowajumuisha wataalamu wa sheria kwa ajili ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa na Baraza la Usalama katika kuhalalisha vikwazo dhidi yake kwa tuhuma za kumiliki silaha za nyuklia au makombora ya balestiki.

  • Korea Kaskazini yamwandikia barua katibu mkuu mpya kushitakia vikwazo

    Korea Kaskazini yamwandikia barua katibu mkuu mpya kushitakia vikwazo

    Jan 07, 2017 12:18

    Serikali ya Korea Kaskazini imemwandikia barua António Guterres, Katibu Mkuu Mpya wa Umoja wa Mataifa ikilalamikia hatua ya kuongezwa vikwazo vya umoja huo dhidi yake.

  • Korea Kusini yaunda kikosi maalumu kwa ajili ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini

    Korea Kusini yaunda kikosi maalumu kwa ajili ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini

    Jan 06, 2017 01:18

    Viongozi wa Korea Kusini wameanzisha kikosi maalumu cha kijeshi chenye wadhifa wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, endapo kutajiri vita baina ya nchi mbili.

  • Korea kusini kuimarisha mfumo wake wa kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na Korea Kaskazini

    Korea kusini kuimarisha mfumo wake wa kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na Korea Kaskazini

    Nov 27, 2016 23:18

    Vyombo vya serikali ya Korea Kusini vimetangaza kuwa, kufuatia kushadidi vitisho vya silaha za nyuklia na makombora ya Korea Kaskazini, Seoul haina njia nyingine ghairi ya kuimarisha mfumo wake wa kiulinzi.

  • Korea Kusini: Korea Kaskazini ikitushambulia tutajibu kwa nguvu zetu zote

    Korea Kusini: Korea Kaskazini ikitushambulia tutajibu kwa nguvu zetu zote

    Nov 23, 2016 01:28

    Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini ametoa indhari kali kwa nchi jirani ya Korea Kaskazini akiitaka isithubutu kufanya hujuma yoyote dhidi yake.

  • Korea Kaskazini: Tumejiandaa kutoa jibu kali kwa chokochoko za Marekani

    Korea Kaskazini: Tumejiandaa kutoa jibu kali kwa chokochoko za Marekani

    Sep 16, 2016 03:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini amesema kuwa, nchi yake imejiandaa kutoa jibu kali kwa vitisho vya Marekani.

  • Siasa za nyuso mbili za Marekani na majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini

    Siasa za nyuso mbili za Marekani na majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini

    Sep 11, 2016 01:37

    Rais Barack Obama wa Marekani ameonesha kukasirishwa sana na hatua ya Korea Kaskazini ya kufanya majaribio ya tano ya nyuklia, huku viongozi wa Pyongyang wakisema kuwa, wamefanya majaribio hayo ili kujibu siasa za kiuadui za Marekani na waitifaki wake dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Korea Kusini na Marekani zaweka mikakati ya kukabiliana na Korea Kaskazini

    Korea Kusini na Marekani zaweka mikakati ya kukabiliana na Korea Kaskazini

    Aug 29, 2016 09:35

    Marekani na Korea Kusini zimetangaza kuanzisha mkakati mpya kwa ajili ya kukabiliana na majiribio ya makombora ya Korea Kaskazini.

  • Uganda kusitisha ushirikiano wa kijeshi na Korea Kaskazini

    Uganda kusitisha ushirikiano wa kijeshi na Korea Kaskazini

    May 30, 2016 00:04

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema karibuni hivi nchi yake itasitisha ushirikiano wa kijeshi na kiusalama na Korea Kaskazini.

  • Askari wa UN: Tutaendelea kusimamia amani nchini Mali

    Askari wa UN: Tutaendelea kusimamia amani nchini Mali

    May 21, 2016 03:16

    Mkuu wa kikosi cha askari wa Umoja wa Mataifa wa kusimamia amani nchini Mali, amesisitizia azma ya askari hao ya kuendeleza operesheni za kudumisha usalama na amani nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS