-
DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho
May 16, 2016 03:20Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepuuzilia mbali ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa iliyodai kuwa nchi hiyo imekuwa ikipokea silaha kutoka Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini: Tukishambuliwa; tutatumia silaha za nyuklia kujilinda
May 08, 2016 09:32Kiongozi wa Korea ya Kaskazini amesema kuwa, nchi yake haitatumia silaha za nyuklia lakini endapo itashambuliwa, basi itatumia silaha hizo kwa ajili ya kujilinda.
-
Korea Kusini yadai kuwa, Korea Kaskazini imemtusi rais wao
Mar 09, 2016 23:16Jeshi la Korea Kusini limeituhumu Korea Kaskazini kwa kutuma vipeperushi inavyodai kuwa, vimemvunjia heshima Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo.
-
Washington Post: Marekani inajitayarisha kuishambulia Korea ya Kaskazini
Mar 07, 2016 12:48Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa Marekani na Korea ya Kusini zinafanya mazoezi katika maneva yao pamoja kwa ajili ya kuvishambulia vituo vya nyuklia vya Korea ya Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yajiandaa kufanyia majaribio kombora jipya la balestiki
Feb 05, 2016 03:54Televisheni ya Japan imetangaza kuwa, Korea Kaskazini imejiandaa kwa ajili ya kufyatua kombora jipya la balestiki.