-
Asilimia 78 ya raia wa Korea Kusini wanapendelea nchi yao izungumze na Korea Kaskazini
Jun 25, 2017 23:36Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonyesha kwamba, raia wengi wa Korea Kusini, wanapendelea nchi yao ifanye kila juhudi kuhakikisha inafanya mazungumzo ya amani na jirani yao Korea Kaskazini.
-
Malalamiko ya raia wa Korea Kusini dhidi ya Marekani
May 31, 2017 22:49Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika miji tofauti ya nchi hiyo hususan Seoul, mji mkuu wa taifa hilo ambapo mbali na kutaka kusimamishwa haraka uwekaji ngao ya makombora ya Marekani THAAD, wametaka pia kusitishwa hatua za kijeshi za askari wa nchi hiyo katika eneo la Korea.
-
Raia wa Korea Kusini waandamana kupinga uepo wa Marekani nchini mwao
May 30, 2017 03:51Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika miji tofauti ya nchi hiyo hususan Seoul, mji mkuu wa taifa hilo ambapo mbali na kutaka kusimamishwa haraka uwekaji ngao ya makombora ya Marekani, wametaka pia kuondolewa askari wa nchi hiyo katika eneo la Korea.
-
Korea Kusini: Urushaji makombora wa Korea Kaskazini unatuweka katika mashinikizo
May 30, 2017 00:00Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa, urushaji makombora unaofanywa na Korea Kaskazini unaiweka Seoul katika mashinikizo kwa ajili ya kubadili siasa za nchi hiyo.
-
Watawala wa Korea Kusini wataka kutowekwa ngao ya THAAD ya Marekani nchini mwao
May 18, 2017 00:06Mkuu wa chama tawala katika bunge la Korea Kusini ametaka kuangaliwa upya suala la kuwekwa ngao ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Korea Kusini: Pyongyang imejiandaa kulifanyia majaribio kombora jipya la nyuklia
May 16, 2017 23:33Waziri wa Ulinzi nchini Korea Kusini ametangaza kuwa, hivi sasa Korea Kaskazini inajiandaa kwa ajili ya kufanya majaribio mapya ya kombora la nyuklia.
-
Rais wa Korea Kusini yupo tayari kuitembelea nchi jirani ya Korea Kaskazini
May 10, 2017 23:01Rais mpya wa Korea Kusini Moon Jae-in amefungua urais wake kwa kutangaza kuwa yuko tayari kuitembelea Korea Kaskazini iwapo mazingira yataruhu ikiwa ni katika kutekeleza ahadi za uchaguzi za kufanya mazungumzo na nchi hiyo hasimu.
-
Wakorea Kusini wafanya mabadiliko kwa kumchagua Moon Jae-in won Mleberali kuwa rais wao
May 09, 2017 09:43Habari za hivi punde zinaeleza kuwa, mgombea wa chama cha kileberali Moon Jae-in won, ameshinda katika uchaguzi wa rais nchini Korea Kusini uliofanyika leo. Moon mwenye umri wa miaka 64 ameshinda kwa kupata asilimia 41.4 .
-
China yawapiga marufuku raia wake kwenda Korea Kusini, Pyongyang nayo yainyoshea kidole Marekani
May 06, 2017 11:06Hatua ya Korea Kusini ya kukubali kuweka ngao ya kisasa ya makombora aina ya THAAD ya Marekani ndani ya ardhi ya nchi hiyo, imewafanya viongozi wa serikali ya China kuwapiga marufuku raia wake kufanya safari ndani ya taifa hilo jirani.
-
Korea Kaskazini: CIA inapanga kumuua kiongozi wetu kwa silaha za kemikali
May 05, 2017 23:45Pyongyang imesema Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linapanga njama ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwa kushirikiana na Idara ya Intelijensia ya Korea Kusini.