-
Wakorea Kusini: Hatutaki Marekani iweke ngao yake ya makombora nchini kwetu
Apr 27, 2017 11:30Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano kulalamikia uamuzi wa serikali wa kukubali kuweka ngao ya makombora ya THAAD katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Korea Kusini: Tupo tayari kuzungumza na Korea Kaskazini kutatua tofauti
Apr 27, 2017 11:27Serikali ya Korea Kusini imetangaza azma yake ya kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua tofauti zilizopo baina yao.
-
Waziri Mkuu wa Korea Kusini, atoa amri kulitaka jeshi la nchi hiyo lijiweke tayari kukabiliana na Pyongyang
Apr 20, 2017 13:40Waziri Mkuu wa Korea Kusini anayekaimu nafasi ya rais, amelitaka jeshi na vikosi vya nchi hiyo kujiweka tayari kutokana na kile alichokisema kuwa ni kushadidi kwa harakati za kijeshi za Pyongyang.
-
Korea Kusini nayo yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki la Hyunmoo ili kuilenga Pyongyang
Apr 06, 2017 03:45Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza leo kwamba imelifanyia majaribio kombora jipya la balestiki la kilometa 800 kwa mafanikio makubwa.
-
Rais aliyeuzuliwa Korea Kusini akamatwa na kuzuiliwa na polisi
Mar 31, 2017 10:12Rais aliyeondolewa madarakani hivi karibuni wa Korea Kusini, Park Geun-hye amekamatwa na polisi ya nchi hiyo kwa tuhuma za ufisadi na utumiaji mbaya wa madaraka.
-
Korea Kusini yakanusha kusitisha uwekaji ngao ya makombora THAD
Mar 30, 2017 23:42Msemaji wa Wizara ya Ulinzi nchini Korea Kusini amesema kuwa, ripoti za baadhi ya vyombo vya habari juu ya kusitishwa mpango wa uwekaji ngao ya Marekani ya makombora katika ardhi ya nchi hiyo hadi baada ya uchaguzi, hayana ukweli wowote.
-
Korea mbili zatunishiana misuli, kila moja yaitishia nyingine kwa jibu kali dhidi yake
Mar 27, 2017 23:25Korea Kaskazini imetangaza kwamba, imejiandaa kufanya operesheni za kujihami dhidi ya mipango ya kijeshi ya askari wa Marekani na Korea Kusini katika eneo la Peninsula ya Korea.
-
Waendesha mashtaka Korea Kusini washinikiza kukamatwa rais aliyeuzuliwa
Mar 27, 2017 03:20Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini wametoa wito wa kutolewa waranti wa kukamatwa rais aliyeondolewa madarakani hivi karibuni wa nchi hiyo, Park Geun-hye.
-
Raia wa Korea Kusini waanzisha harakati ya kupinga ngao ya makombora ya THAD nchini kwao
Mar 25, 2017 11:53Wanaharakati wa kundi linaloitwa, 'Walinzi wa Korea Kusini' wameanzisha harakati ya kupinga zoezi la kuweka ngao ya makombora ya Marekani ya THAD nchini kwao.
-
Korea Kusini yaishtaki China Shirika la Biashara Duniani
Mar 21, 2017 03:23Waziri wa Biashara wa Korea Kusini Joo Hyung-hwan ametangaza kuwa nchi yake imewasilisha mashtaka dhidi ya China katika Shirika la Biashara Duniani (WTO) kutokana na vizuizi ilivyowekewa na Beijing katika sekta za biashara na utalii kulalamikia uwekaji mfumo wa makombora wa Marekani THAAD katika ardhi ya Korea Kusini.