-
Pingamizi la Waziri Mkuu wa Korea Kusini la kujiuzulu washauri wote wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo
Mar 16, 2017 04:48Hwang Kyo-ahn, Waziri Mkuu wa Korea Kusini anayekaimu nafasi ya rais alieondolewa madarakani Park Geun-hye, amekataa ombi la kutaka kujiuzulu kwa pamoja washauri wote wa rais huyo wa zamani.
-
Jeshi la Korea Kusini: Tumejiweka tayari na hujuma yoyote baada ya kuondolewa madarakani Rais Park Geun-hye
Mar 10, 2017 09:50Jeshi la Korea Kusini limetangaza utayarifu wake kutokana na hujuma yoyote tarajiwa ya Korea Kaskazini, baada ya kuondolewa madarakani Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo.
-
Mahakama yamuondoa madarakani rais wa Korea Kusini
Mar 10, 2017 04:21Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imeafiki uamuzi wa bunge wa kumuondoa madarakani rais wa taifa hilo Park Geun-hye.
-
Marekani, Korea 2 na Japan ziko katika ncha ya kupigana
Mar 07, 2017 03:47Washington imeanza kutuma nchini Korea Kusini mfumo wa ulinzi wa makombora wa THAAD, baada ya Korea Kaskazini kusema kuwa, jaribio lake la hivi punde la makombora ni maandalizi kwa ajili ya kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani nchini Japan.
-
Mfumo wa makombora wa THAD, sababu ya mgawanyiko kisiasa nchini Korea Kusini
Jan 06, 2017 01:19Safari ya ujumbe wa chama cha Demokrasia, ambacho ni chama kikuu cha upinzani nchini Korea Kusini huko Uchina, imebainisha kwamba, kadhia ya mfumo wa makombora wa THAD katika siasa za ndani na nje za Korea Kusini, inaweza kuwa na taathira muhimu katika mwenendo wa mabadiliko yajayo ndani ya taifa hilo.
-
Korea Kusini yaunda kikosi maalumu kwa ajili ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini
Jan 06, 2017 01:18Viongozi wa Korea Kusini wameanzisha kikosi maalumu cha kijeshi chenye wadhifa wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, endapo kutajiri vita baina ya nchi mbili.
-
China yaonya kuhusu makubaliano ya kijeshi kati ya Japan na Korea Kusini
Nov 25, 2016 01:26Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa tahadhari juu ya makubaliano ya kijeshi baina ya Japan na Korea Kusini.
-
Korea Kusini: Korea Kaskazini ikitushambulia tutajibu kwa nguvu zetu zote
Nov 23, 2016 01:28Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini ametoa indhari kali kwa nchi jirani ya Korea Kaskazini akiitaka isithubutu kufanya hujuma yoyote dhidi yake.
-
Korea Kusini yapasisha pendekezo la kununua ndege za kivita 40 kuikabili K/Kaskazini
Nov 18, 2016 11:25Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa, imepasisha pendekezo la kununua ndege za kivita 40 aina ya F 35 kutoka Marekani kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya jirani yake Korea Kaskazini.
-
Duru ya pili ya maandamano makubwa ya raia wa Korea Kusini dhidi ya Rais Park Geun-hye
Nov 12, 2016 10:52Maelfu ya raia wa Korea Kusini wameanzisha duru ya pili ya maandamano makubwa dhidi ya Rais dhidi ya Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo.