-
Marekani na Korea Kusini zaanza luteka ya pamoja ya kijeshi Peninsula ya Korea
Nov 08, 2016 12:08Marekani na Korea Kusini zimeanza kufanya maneva ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Korea Kusini.
-
Maelfu ya raia wa Korea Kusini waandamana kumtaka rais wa nchi hiyo ajiuzulu
Nov 05, 2016 23:17Makumi ya maelfu ya raia wa Korea Kusini Jumamosi ya jana walifanya maandamano makubwa mjini Seoul, mji mkuu wa nchi hiyo wakimtaka Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo kuondoka madarakani mara moja.
-
China: US isitishe mara moja mpango wake wa kuweka ngao ya makombora Korea Kusini
Nov 05, 2016 09:30Kwa mara nyingine serikali ya China imeonyesha upinzani wake kwa hatua ya Marekani ya kutaka kuweka ngao ya kujilinda kwa makombora aina ya Thaad nchini Korea Kusini.
-
Malalamiko ya raia wa Korea Kusini juu ya kuwekwa ngao ya makombora ya Marekani
Oct 03, 2016 08:20Wakazi wa mkoa wa Gimcheon, kaskazini mwa Korea Kusini, wamefanya maandamano katika kulalamikia ngao ya makombora aina ya THAAD ya Marekani karibu na mji huo.
-
Korea Kusini: Korea Kaskazini inajiandaa kufanya jaribio jingine la silaha za nyuklia
Sep 28, 2016 10:31Waziri wa Umoja wa Korea Kusini amesema kuwa, hivi sasa serikali ya Korea Kaskazini inajiandaa kufanya jaribio jingine la silaha za nyuklia.
-
Rais Park Geun-hye: Vitisho vya Korea Kaskazini vinatia wasiwasi
Sep 25, 2016 00:46Rais Park Geun-hye wa Korea Kusini amesema kuwa, vitisho vya nchi jirani ya Korea Kaskazini ni halisi na vinatia wasiwasi mkubwa.
-
Korea Kusini yaitaka China na Russia kupitisha azimio kali dhidi ya hasimu wake Korea Kaskazini
Sep 14, 2016 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini Yun Byung-se ameitaka Russia na China kuafiki azimio kali katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya jirani yake Korea Kaskazini.
-
Uganda kusitisha ushirikiano wa kijeshi na Korea Kaskazini
May 30, 2016 00:04Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema karibuni hivi nchi yake itasitisha ushirikiano wa kijeshi na kiusalama na Korea Kaskazini.
-
Tuhuma mpya za Korea Kaskazini dhidi ya jirani yake Korea Kusini
May 29, 2016 08:19Sanjari na Korea Kaskazini kukariri vitisho vyake vya kushambulia meli na nyambizi za Korea Kusini, imeituhumu nchi hiyo kwa kufanya njama dhidi yake.
-
Iran, Korea Kusini zasaini mikataba 19 ya ushirikiano
May 02, 2016 12:18Iran na Korea Kusini leo zimetiliana saini mikataba 19 ya kuimarisha uhusiano katika nyanja mbali mbali.