-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 04:50Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.
-
Korea Kusini ina hofu juu ya jaribio la 7 la nyukia linalokaribia kufanywa na Korea Kaskazini
Jul 26, 2022 06:49Korea Kusini imesema, si baidi kwa Korea Kaskazini kufanya jaribio la saba la nyuklia hapo kesho.
-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kupinga ngao ya Marekani ya THAAD
Jun 24, 2022 22:34Kwa mara nyingine wananchi wa Korea Kusini wamefanya maandamano kupinga mpango wa kusimikwa ngao ya makombora ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD ndani ya nchi yao.
-
Maandamano ya kupinga safari ya Biden Korea Kusini
May 22, 2022 12:33Wanachama wa baadhi ya vyama na mashirika ya kiraia wamekusanyika mjini Seoul kupinga ziara ya Rais Joe Biden wa Marekani nchini Korea Kusini.
-
Wanaharakati wa asasi za kiraia Korea Kusini waandamana kupinga safari ya Biden
May 21, 2022 07:59Baadhi ya wanaharakati wa asasi mashuhuri za kiraia nchini Korea Kusini wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul kupinga safari ya Rais Joe Biden wa Marekani nchini humo.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara
Mar 24, 2022 08:49Korea Kusini na Japan zimesema, Korea Kaskazini imefanyia majaribio kile kinachoshukiwa kuwa ni kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara.
-
Iran: Korea Kusini lazima itulipe deni letu
Jan 07, 2022 00:04Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa na kiongozi wa ujumbe wa Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema Korea Kusini haina chaguo jingine isipokuwa kutekeleza wajibu wake na kuilipa Jamhuri ya Kiislamu deni lake.
-
Khatibzadeh: Iran haiwezi kuwa mateka wa mashinikizo bandia ya watu walioshindwa
Jan 11, 2021 08:42Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran ikiwa serikali husika katika fremu ya ufundi na uchukuaji maamuzi kwa kujitegemea ndio inayopaswa kutoa majibu ya tukio la kuanguka ndege ya Ukraine katika anga ya taifa hili na kwamba, katu haitakubali kuwa mateka wa siasa na mashinikizo ya bandia ya pande zilizoshindwa.
-
Msimamo wa kukinzana wa Marekani kuhusu mgogoro wa nyuklia wa Korea
Aug 28, 2020 05:42Takriban ni miongo 7 sasa ambapo Marekani ina wanajeshi wake katika Rasi ya Korea. Licha ya kufanyika mazungumzo mara kadhaa baina ya viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kuhusu kupokonywa silaha za nyuklia Pyongyang lakini mgogoro wa Korea mbili bado uko vile vile. Si hayo tu lakini rais wa Marekani, Donald Trump hivi sasa anataka kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Korea Kusini, suala ambalo limezusha mzozo mpya.
-
Waziri wa Umoja Korea Kusini ajiuzulu huku mgogoro na Korea Kaskazini ukishadidi
Jun 18, 2020 22:04Kufuatia kushadidi mgogoro baina ya Korea Kusini na Korea Kaskazini, Waziri wa Umoja wa Korea Kusini amejiuzulu. Wizara ya Umoja wa Korea Kusini hushughulikia jitihada za kujaribu kuziunganisha tena nchi hizo mbili.