-
Kushtadi jinai za Wazayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina
Jan 29, 2018 01:06Wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wamewauwa shahidi watoto watatu wa Kipalestina tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2018 hadi sasa.
-
Mwaka 2017; Israel iliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Jan 10, 2018 04:13Harakati ya Kimataifa ya Kuwatetea Watoto tawi la Palestina imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni mwaka uliopita wa 2017 uliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina katika eneo la Ukanda wa Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa pili tangu kuuawa shahidi na Aal Saud, Ayatullah Nimr Baqir al-Nimr
Jan 04, 2018 09:13Siku hizi zinasadifiana na mwaka wa pili tangu mwanazuoni mahiri wa Saudi Arabia Ayatullah Nimr Baqir al-Nimr alipouawa shahidi na utawala wa Aal Saud.
-
Wapalestina wawili wauawa shahidi katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga uamuzi wa Trump
Dec 22, 2017 23:13Wapalestina wawili wameuliwa shahidi na makumi ya wengine wamejeruhiwa huko Ukanda wa Gaza katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga na kulaani uamuzi wa rais wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa Israel.
-
Askari wa Nigeria wawaua shahidi Waislamu wawili katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Nov 06, 2017 05:54Askari wa Nigeria wameuhujumu msafara wa waumini waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS katika jimbo la Kano na kuwaua shahidi Waislamu wawili wa madehehbu ya Shia.
-
Iran yalaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza
Oct 31, 2017 03:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la jana la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza lililouwa shahidi wanamapambano kadhaa wa Palestina.
-
Wanajeshi wa Israel wazuia sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa
Jul 21, 2017 09:06Utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka vizingiti chungu nzima kuwazuia Wapalestina kusali sala ya Ijumaa katika msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu huku kijana wa Kiplaestina akifyatuliwa risasi na kuuawa na wanajeshi wa Israel.
-
Waislamu wakumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume, Imam Sadiq (as)
Jul 20, 2017 00:21Waislamu kote duniani hususan wafuasi na wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad (saw) leo tarehe 25 Mfunguo Mosi Shawwali wanakumbuka na kuombeleza tukio chungu la kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu, Imam Ja'far Sadiq (as).
-
Wanajeshi wa Israel wawaua shahidi vijana wanne Wapalestina
Jun 17, 2017 02:46Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua vijana wanne Wapalestina.
-
Waislamu kote dunia wanaomboleza siku ya kufa shahidi binti wa Mtume Muhammad (saw), Fatima (as)
Mar 02, 2017 01:21Waislamu duniani hususan wafuasi wa wapenzi wa Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume wetu Muhammad (saw) leo wanaomboleza siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw) Bibi Fatima Zahra (as) aliyeaga dunia katika siku kama hii ya leo tarehe 3 Jamadithani mwaka wa 11 Hijria.