Pars Today
Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa inafanya nao mashauriano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia.
Naibu Waziri Mkuu wa Russia katika Masuala ya Ulinzi amesema kwamba, Moscow haijapata ombi kutoka Iran la kuiuzia ngao ya makombora ya S-400.
Wizara ya Waqfu na Masuaia ya Kiislamu ya Qatar imeituhumu Saudi Arabia kuwa inaitumia vibaya ibada ya Hija kwa malengo yake ya kisiasa.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai yanayosema kuwa, Tehran imekataa kutuma mahujaji wake mwaka huu na kusema kuwa madai hayo hayana ukweli wowote.
Katibu Mkuu wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri amekanusha kutolewa ombi lolote na harakati hiyo la kutaka ufanyike usuluhishi baina yake na utawala wa sasa wa nchi hiyo.