Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kundi la kigaidi

  • Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran:Vyombo vya intelijinsia havitawaacha magaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran:Vyombo vya intelijinsia havitawaacha magaidi

    Jul 10, 2023 02:50

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa vyombo vya intelijinsia havitaacha kuwasaka magaidi.

  • Mashambulizi ya IRGC dhidi ya ngome za magaidi huko Kurdistan Iraq

    Mashambulizi ya IRGC dhidi ya ngome za magaidi huko Kurdistan Iraq

    Oct 02, 2022 02:13

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetekeleza duru mpya ya mashambulizi dhidi ya ngome na maficho ya magaidi kufuatia kuongezeka hujuma na harakati dhidi ya Iran za magaidi waliopo katika eneo la Kurdistan huko Iraq.

  • Marekani kutuma wanajeshi Somalia kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab

    Marekani kutuma wanajeshi Somalia kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab

    May 17, 2022 07:33

    Katika kuendeleza hatua zake za kijeshi na sera za uingliaji kati , Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa washington ina mpango wa kutuma tena wanajeshi wa nchi hiyo huko Somalia kwa lengo la kile alichokitaka kuwa kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida.

  • Magaidi 17 wa kundi la al-Shabab waangamizwa na jeshi katikati mwa Somalia

    Magaidi 17 wa kundi la al-Shabab waangamizwa na jeshi katikati mwa Somalia

    Jan 08, 2022 07:10

    Wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabab la Somalia wameangamizwa na jeshi katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kufuatia opesheni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji hao.

  • Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya; tatizo kubwa na la kimsingi

    Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya; tatizo kubwa na la kimsingi

    Aug 31, 2021 08:18

    Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya bado lingali ni tatizo kuu na la kimsingi kwa nchi hiyo katika njia ya kurejesha amani na uthabiti.

  • Msumbiji yaanzisha oparesheni kubwa ya kukomboa mji wa Palma

    Msumbiji yaanzisha oparesheni kubwa ya kukomboa mji wa Palma

    Mar 29, 2021 11:37

    Wizara ya Ulinzi ya Msumbiji imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limeanzisha oparesheni kubwa ya kukomboa mji wa pwani wa Palma unaodhibitiwa na kundi linalojiita al Shabab.

  • Oman yapinga Ansarullah ya Yemen kuwekwa kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Oman yapinga Ansarullah ya Yemen kuwekwa kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Dec 05, 2020 12:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amepinga pendekezo la serikali ya Marekani la kuiweka harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuiita kundi la kigaidi moja ya pande kuu zinazopigana nchini Yemen hakusaidii kutatua mgogoro wa nchi hiyo.

  • Boko Haram yatungua helikopta Nigeria na kuua watu 5

    Boko Haram yatungua helikopta Nigeria na kuua watu 5

    Nov 19, 2020 06:55

    Kundi la kigaidi la Boko Haram limetungua ndege aina ya helikopta huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua watu watano.

  • Serikali ya Iraq: Hatuitambui Ikhwanul Muslimin ya Iraq kuwa ni kundi la kigaidi

    Serikali ya Iraq: Hatuitambui Ikhwanul Muslimin ya Iraq kuwa ni kundi la kigaidi

    Oct 26, 2020 02:31

    Msemaji wa serikali ya Iraq amesema kundi la Ikhwanul Muslimin ni sehemu ya mchakato wa kisiasa wa nchi hiyo na wala serikali hiyo haiitambui harakati hiyo kuwa ni kundi la kigaidi.

  • Kundi la kigaidi la Boko Haram laua raia 10 na kuteka nyara wengine saba nchini Chad

    Kundi la kigaidi la Boko Haram laua raia 10 na kuteka nyara wengine saba nchini Chad

    Aug 01, 2020 08:06

    Magaidi wa kundi la ukufurishaji la Boko Haram la nchini Nigeria wameua raia 10 wa Chad katika shambulio dhidi ya kijiji kimoja magharibi mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS