-
Makumi ya wapiganaji wa Boko Haram wauliwa katika shambulizi la jeshi, Nigeria
Jun 28, 2020 02:37Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa katika shambulizi lililofanywa na jeshi la taifa la Nigeria dhidi ya ngome za kundi hilo huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu 69 wauawa na wanagambo wa Boko Haram Nigeria
Jun 10, 2020 08:01Watu 69 wameauwa katika shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq
May 25, 2020 04:32Kusambazwa faili la sauti katika mitandao ya kijamii kumepelekea kufichuliwa kashfa ya Saudi Arabia kutuma maelfu ya magaidi wa nchi hiyo kwenda Iraq katika miaka ya hivi karibuni.
-
Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa nchini Nigeria
Mar 28, 2020 12:10Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa kwa akali wanachama 100 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni dhidi ya ugaidi iliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo.
-
Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria
Mar 19, 2020 02:43Russia imeyapa machaguo mawili makundi ya kigaidi yananayofadhiliwa na nchi za Magharibi katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria. Mwezi Januari mwaka huu jeshi la Syria na washirika wake walianzisha operesheni ya kuusafisha mkoa huo wa Idlib, ambao ndio ngome ya mwisho ya magaidi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Magaidi 33 wa kundi la al-Shabab waangamizwa nchini Somalia
Jan 04, 2020 13:34Wanamgambo wasiopungua 33 wa kundi la kigaidi la al-Shabab wameangamizwa katika operesheni mbili tofauti za jeshi kusini magharibi mwa Somalia.
-
Raia wawili wauliwa kaskazini mwa Cameroon katika shambulio la kigaidi la Boko Haram
Dec 29, 2019 08:09Maafisa usalama wa Cameroon wametangaza kuwa raia wawili wameuawa katika shambulio la kigaidi la kundi la Boko Haram katika eneo la kaskazini ya mbali nchini humo.
-
Makumi ya askari wa Ufaransa wajiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria
Dec 19, 2019 04:06Kituo cha Kuchunguza Ugaidi cha Ufaransa kimetangaza kuwa wanajeshi 30 wa nchi hiyo wamejiunga na makundi ya kigaidi katika nchi za Syria na Iraq.
-
Magaidi sita waangamizwa katika operesheni iliyofanywa na jeshi nchini Burkina Faso
Dec 01, 2019 03:07Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa magaidi sita wameuliwa katika operesheni iliyofanywa na askari wa jeshi hilo.
-
Marekani yadai imeitupa baharini maiti ya Abu Bakr al Baghdadi
Oct 29, 2019 16:36Mkuu wa majeshi ya Marekani amedai kuwa mwili wa aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi umetupwa bahaini baada ya kuthibitishwa kuwa wake kupitia kipimo cha vinasaba (DNA).