-
Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa Daesh auawa
Oct 27, 2019 07:38Afisa mmoja wa Pentagon nchini Marekani amesema kuwa Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ameuawa katika operesheni ya siri iliyotekelezwa kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Wanachama 20 wa kundi la ash-Shabab, wauawa nchini Somalia
Oct 20, 2019 02:35Maafisa wa serikali ya Somalia wametangaza habari ya kuuawa wanachama 20 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab katika shambulizi lililolilenga gari yao katikati mwa nchi hiyo.
-
Rais wa zamani wa Benin: Saudia inawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram
Oct 05, 2019 15:05Rais wa zamani wa Benin amefichua kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia unawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram wanaoendesha vitendo vya kigaidi magharibi mwa bara la Afrika.
-
Trump azionya nchi za Ulaya, azitaka ziwachukue raia wake waliojiunga na ISIS
Sep 21, 2019 12:15Rais Donald Trump wa Marekani amezionya nchi za Ulaya akizitaka zihakikishe zimewachukua raia wao waliojiunga na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na wanaoendelea kushikiliwa nchini Iraq na Syria.
-
Ukosoaji wa Russia kwa utendaji wa Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za magaidi nchini Syria
Aug 02, 2019 01:16Syria imekuwa ikikabiliwa na hali ya mchafukoge tangu mwakak 2011 na kisha ikatumbukia katika vita vya ndani baina ya serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo na waungaji mkono wake kwa upande mmoja na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na madola ya Magharibi na washirika wao wa Kiarabu kwa upande wa pili.
-
Mahakama ya Federali ya Nigeria imeiruhusu serikali kuiweka Harakati ya Kiislamu katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jul 28, 2019 07:38Mahakama ya Federali ya nchini Nigeria imeiruhusu serikali kuiweka Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo katika faharasa ya makundi ya kigaidi.
-
Afisa wa zamani wa Marekani: Serikali ya Trump inaficha ukweli wa nafasi muhimu ya Iran katika kupambana na ugaidi
May 07, 2019 13:43Mshauri wa zamani katika masuala ya kimataifa nchini Marekani amesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inafanya njama za kuficha nafasi chanya na muhimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi.
-
Larijani: Marekani ni nembo ya ugaidi wa kimataifa kijeshi na kiuchumi
Apr 09, 2019 07:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, serikali ya Marekani na majeshi ya nchi hiyo ni nembo ya ugaidi wa kimataifa, kijeshi na kiuchumi.
-
Russia, Syria na Human Rights Watch wakanusha madai ya Trump kuhusu ISIS
Mar 24, 2019 15:17Russia, Syria na Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch wamepinga madai ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kwamba magaidi wa Daesh (ISIS) wameshasambaratishwa kikamilifu katika nchi za Iraq na Syria.
-
Kamanda wa jeshi la Marekani akiri kwamba nchi hiyo imeshindwa huko Syria
Feb 16, 2019 01:26Kamanda wa kikosi maalumu cha jeshi la Marekani amekiri kwamba uingiliaji kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Syria haukuwa na mafanikio.