-
Boko Haram wafanya shambulizi jingine mashariki mwa Nigeria
Dec 18, 2018 03:26Genge la kigaidi na la ukufurishaji la Boko Haram limevamia na kushambulia kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuchoma moto nyumba za wanakijiji baada ya kuwashambulia kwa risasi.
-
Jeshi la Somalia na AU zafanya operesheni ya pamoja dhidi ya al Shabab
Dec 17, 2018 15:22Mkuu wa mipango ya opereshenei ya kikosi cha Umoja wa Afrika cha kulinda amani Somalia (AMISOM) amesema kuwa, askari wa kikosi hicho na wale wa serikali wanaendesha kwa pamoja operesheni ya kupambana na magaidi wa al Shabab kusini mwa Somalia.
-
Pentagon yakiri kutumwa misaada na taasisi za nchini Marekani kwa magaidi
Nov 13, 2018 14:21Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetoa ripoti ikikiri kwamba taasisi za misaada ya kujitolea nchini humo zimetuma misaada mbalimbali kwa makundi ya kigaidi nchini Syria na Iraq, kwa kisingizio cha misaada ya kibinaadamu.
-
Majina 164 ya wanachama wa Ikhwanul Muslimin yawekwa katika orodha ya makundi ya kigaidi Misri
Oct 29, 2018 04:40Mahakama moja ya mjini Cairo Misri imeyaweka majina 164 ya viongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya nchi hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Wakulima 12 wauawa na magaidi wa Boko Haram katika jimbo la Borno
Oct 21, 2018 07:44Kundi la kigaidi la Boko Haram limewaua wakulima wasiopungua 12 na kujeuhi makumi ya wengine, baada ya kufanya shambulio katika kitongoji kimoja katika mji wa Maiduguri ulioko katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kundi la Boko Haram lashambulia kambi ya jeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 28, 2018 14:35Kundi la kigaidi la Boko Haram limefanya shambulio jingine dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu 9 wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 21, 2018 03:23Kundi la kigaidi la Boko Haram limeendelea kufanya mauaji kaskazini mashariki mwa Nigeria ambapo watu 9 wanaripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la magaidi hao.
-
Shambulio la Boko Haram laua watu 8 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 15, 2018 07:42Watu wasiopungua wanane wanaripotiwa kuuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuvishambulia vijiji viwili.
-
Uturuki yapinga kuangamizwa magaidi mkoani Idlib, Syria
Sep 11, 2018 07:12Sambamba na jeshi la Syria kujiandaa kwa mashambulio ya kuiangamiza ngome kuu ya makundi ya kigaidi katika mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa nchi hiyo, Uturuki imetangaza msimamo wa kupinga hatua hiyo.
-
Raia 21 wa Nigeria waachiliwa huru kutoka mikononi mwa kundi la Boko Haram
Sep 08, 2018 07:05Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuachiliwa huru raia 21 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.