-
Jumamosi, 11 Mei, 2024
May 11, 2024 04:09Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1445 Hijria mwafaka na tarehe 11 Mei 2024 Miladia.
-
Wairani 23,000 wasio na hatia wameuawa shahidi kwa vitendo vya kigaidi
Jan 02, 2024 14:50Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekumbusha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa mhanga mkubwa zaidi wa vitendo vya magaidi na kubainisha kwamba: hadi sasa watu elfu 23 wasio na hatia wameuawa shahidi kutokana na vitendo vya kigaidi.
-
Kiongozi wa kundi la kigaidi la MKO apigwa marufuku kuingia Albania
Aug 04, 2023 07:45Albania imempiga marufuku kiongozi wa kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO) kutia mguu katika ardhi ya nchi hiyo ya Ulaya.
-
Mahakama ya Iran kuwashtaki magaidi 100 wa MKO
Jul 29, 2023 10:15Mahakama kuu ya jinai ya Iran inatazamiwa kuwapandisha kizimbani wanachama zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) ambalo limefanya mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kanani Chafi: Serikali ya Albania inapaswa kufidia makosa ya kuwa mwenyeji wa kundi la kigaidi la Munafiqin
Jun 21, 2023 12:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje jya Iran ameashiria vitendo vya jinai na kigaidi vinavyofanywa na kundi la Munafiqin la Iran huko Albania, na kueleza matumaini yake kuwa serikali ya nchi hiyo itafidia makosa yake ya kuwa mwenyeji wa kundi hilo la kigaidi.
-
Kan'ani aliambia Bunge la Ulaya: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi
May 30, 2023 10:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia suala la kualikwa kiongozi wa kundi la kigaidi la MKO katika Bunge la Ulaya na nara zinazotolewa na nchi za Ulaya kuhusu haki za binadamu na kuhoji: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi?
-
Radiamali ya Iran kwa kuungwa mkono kundi la kigaidi la MKO katika Kongresi ya Marekani
Feb 13, 2023 13:14Hussein Amir-Abdollahia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran Jumamosi ya juzi tarehe 11 Februari alitoa radiamali kuhusiana na azimio la Kongresi ya Marekani linaloliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO).
-
Wanachama wa kundi la kigaidi la MKO watiwa mbaroni Albania kwa magendo ya binadamu na mihadarati
Dec 05, 2021 03:03Gazeti moja linalochapishwa nchini Albania limeripoti kuwa wanachama kadhaa wa kundi la MKO wamekamatwa nchini humo kwa kufanya magendo ya binadamu, madawa ya kulevya na kutakatisha pesa.
-
Iran: Magaidi wa MKO wanapewa hifadhi na US na EU licha ya kuua maelfu ya Wairani
Aug 30, 2020 11:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani zinawapa hifadhi wanachama wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) licha ya genge hilo kuua kikatili maelfu ya Wairani.
-
Iran: Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la MKO katika mauaji ya Wairani wasio na hatia
Jun 29, 2020 03:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) katika mauaji ya watu wa Iran.