-
Obama kutuma askari zaidi nchini Syria eti kupambana na ugaidi
Apr 26, 2016 03:51Rais Barack Obama wa Marekani ametangaza kuwa serikali ya Washington karibuni hivi itatuma askari 250 wa nchi kavu kwenda Syria kwa kisingizio cha kupambana na makundi ya kigaidi.
-
Spika wa Bunge la Syria azitaka nchi za Ulaya kushirikiana na nchi yake katika vita dhidi ya ugaidi
Apr 25, 2016 03:36Soika wa Bunge la Syria amesisitiza juu ya udharura wa kuweko ushirikiano wa kweli na wa dhati wa nchi za Ulaya na serikali ya nchi hiyo katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Rouhani na al Abadi wajadili mapambano dhidi ya ugaidi
Apr 21, 2016 00:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri Mkuu wa Iraq wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili hali ya sasa ya Mashariki ya Kati husuan mipango ya serikali ya Iraq ya kurejesha amani nchini humo na kupambana na ugaidi.
-
Iran, Kazakhstan zatoa wito wa kupambana na ugaidi
Apr 20, 2016 03:31Maspika wa Mabunge ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kazakhstan wametoa wito wa kuwepo juhudi za pamoja na za dhati za kukabiliana na makundi ya kigaidi na haswa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Marais wa Ufaransa na Misri wasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kimataifa dhidi ya ugaidi
Apr 18, 2016 02:45Marais wa Ufaransa na Misri wamesisitiza kuwa upo udharura wa kuimarisha ushirikiano wa kimataifa dhidi ya ugaidi.
-
Rais Rouhani: Umoja, dawa mjarabu ya kuzima ugaidi
Apr 17, 2016 10:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuenea jinai na ugaidi ni katika changamoto kuu zinaolikabili eneola Mashariki ya Kati na dunia nzima kwa ujumla na hivyo kuna haja ya watu wa dini mbali mbali kushirikiana kwa lengo la kukabiliana na matatizo hayo.
-
Nigeria yasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Apr 14, 2016 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza udharura wa kuzidishwa ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo la magharibi mwa Afrika kwa ajili ya kupambana na kundi la Boko Haram.
-
Waziri Mkuu mpya wa Madagascar akabidhiwa ofisi na kuahidi kupambana na umasikini na ufisadi
Apr 13, 2016 09:58Waziri Mkuu mpya wa Madagascar amekabidhiwa ofisi leo na kuanza rasmi kuhudumu katika wadhifa huo huku akiahidi kupambana na umasikini na ufisadi.
-
Kiongozi: Marekani inatoa misaada kwa magaidi
Apr 12, 2016 13:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
-
Rais Fuad Masum: Ili Iraq iweze kupambana na ugaidi inahitajia misaada ya kimataifa
Apr 11, 2016 23:10Rais wa Iraq amesema kuwa, ili nchi hiyo iweze kupambana na ugaidi inahitajia uungaji mkono wa kimataifa.