Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kupambana na ugaidi

  • Rais Rouhani asisitiza irada imara kukabiliana na ugaidi

    Rais Rouhani asisitiza irada imara kukabiliana na ugaidi

    Apr 11, 2016 00:16

    Rais Hassan Rouhani wa Iran kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za pamoja kukabiliana na makundi ya kigaidi.

  • Mitazamo ya Zarif kuhusu migogoro ya Mashariki ya Kati

    Mitazamo ya Zarif kuhusu migogoro ya Mashariki ya Kati

    Apr 09, 2016 22:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameliambia shirika la habari la Russia la Tass News Agency kwamba misimamo mikali na ugaidi vinatishia maeneo ya Mashariki ya Kati, Asia ya Kati na Kaukasia.

  • Guinea Conakry yaimarisha usalama tayari kukabiliana na shambulio lolote la kigaidi

    Guinea Conakry yaimarisha usalama tayari kukabiliana na shambulio lolote la kigaidi

    Apr 09, 2016 03:44

    Serikali ya Guinea Conakry imechukua hatua za kuimarisha usalama nchini humo kwa shabaha ya kujiweka tayari kukabiliana na shambulio lolote lile la kigaidi.

  • Ushirikiano zaidi wa Ufaransa na Afrika katika kupambana na ugaidi

    Ushirikiano zaidi wa Ufaransa na Afrika katika kupambana na ugaidi

    Apr 05, 2016 23:45

    Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesisitiza kuwa, Ufaransa na Afrika zinapaswa kuwa na ushirikiano na uratibu zaidi katika kupambana na ugaidi.

  • Mufti wa Misri asisitiza kuweko ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Mufti wa Misri asisitiza kuweko ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Mar 23, 2016 10:29

    Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza kuweko udharura wa ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.

  • Tunisia: Wananchi changieni sehemu ya mshahara kukabili ugaidi

    Tunisia: Wananchi changieni sehemu ya mshahara kukabili ugaidi

    Mar 13, 2016 13:06

    Waziri Mkuu wa Tunisia amewataka wafanyakazi wa umma na wananchi wote kwa jumla kuchangia sehemu ya mishahara yao kwenda kwenye hazina maalumu ya kupambana na harakati za ugaidi nchini humo.

  • Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria

    Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria

    Mar 11, 2016 23:03

    Vyombo vya usalama vya nchini Syria vimetangaza kuwa vimekamata magaidi kadhaa waliokuwa na silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.

  • Nchi za Afrika Magharibi kuunda kikosi cha kukabiliana na ugaidi

    Nchi za Afrika Magharibi kuunda kikosi cha kukabiliana na ugaidi

    Mar 05, 2016 23:10

    Mawaziri wa ulinzi wa eneo la Sahel huko magharibi mwa Afrika wameazimia kuunda kikosi cha jeshi cha pamoja cha radiamali ya haraka ili kukabiliana na ongozeko la hatari ya makundi ya kigaidi ya al Qaeda na Daesh katika eneo hilo.

  • Houthi: Saudia wanashirikiana na al-Qaeda Yemen

    Houthi: Saudia wanashirikiana na al-Qaeda Yemen

    Feb 23, 2016 04:26

    Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda zinashirikiana katika mashambulizi yao ya kutisha nchini Yemen.

  • Syria yatuma barua kwa Umoja wa Mataifa ikilaani mashambulizi ya Uturuki

    Syria yatuma barua kwa Umoja wa Mataifa ikilaani mashambulizi ya Uturuki

    Feb 14, 2016 10:29

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetuma barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kulaani mahambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS