Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kusimama kidete

  • Maiti zazagaa barabarani, hospitali zaelemewa na majeruhi huku mapigano yakishtadi Goma, DRC

    Maiti zazagaa barabarani, hospitali zaelemewa na majeruhi huku mapigano yakishtadi Goma, DRC

    Jan 29, 2025 00:05

    Mapigano makali yanaendele kati ya wapiganaji wa M23 na wanajeshi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC katika mji wa Goma mashariki mwa nchi hiyo huku yakiacha maiti nyingi zikiwa zimezagaa mitaani, na hospitali nazo zikielemewa na ongezeko la majeruhi.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui

    Oct 13, 2022 08:14

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja ghasia na machafuko yaliyoenea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa ni mpango usio wa kawaida na wa fedheha wa adui mkabala wa maendeleo na harakati za ubunifu na kubwa za taifa la Iran na kwamba, njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara.

  • Rouhani: Umoja wa Wairani ni jibu imara kwa matamshi ya kipuuzi ya viongozi wa Marekani

    Rouhani: Umoja wa Wairani ni jibu imara kwa matamshi ya kipuuzi ya viongozi wa Marekani

    Jul 25, 2018 08:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vitisho hewa na visivyo na msingi vya baadhi ya viongozi wa Marekani havistahili kujibiwa na kueleza kuwa: Kutotetereka, kuwa na umoja na kutojali vitisho na njama za Marekani na kufanya juhudi za kuzisambaratisha njama za maadui, ndiyo jibu lenye nguvu zaidi la taifa la Iran kwa matamshi ya kipuuzi ya watawala wa Marekani.

  • "Maandamano ya Haki ya Kurejea" nembo endelevu ya Wapalestina

    Apr 29, 2018 03:01

    Yahya Sinwar Mwanachama wa Ngazi za Juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesisitiza kuhusu kuendelea "Maandamano ya Haki ya Kurejea" na kusema: "Maandamano makubwa ya Wapalestina katika mpaka wa Ukanda wa Ghaza na ardhi za Palestina zilizokaliwa kwa mabavu na utawala bandia wa Israel mwaka 1948 ni ishara ya kufungamana na haki ya wakimbizi wa Kipalestina kurejea katika ardhi zao.

  • Kiongozi Muadhamu: Imani na ucha-Mungu, ni sababu ya kusimama imara taifa la Iran dhidi ya hujuma za Marekani na Israel

    Kiongozi Muadhamu: Imani na ucha-Mungu, ni sababu ya kusimama imara taifa la Iran dhidi ya hujuma za Marekani na Israel

    Mar 15, 2018 11:25

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama imara na mafanikio ya Iran katika kukabiliana na hujuma za mrengo mkubwa wa kisiasa, kifedha, kijeshi, kiusalama na kiutamaduni wa Marekani na Israel, kunatokana na baraka za kuwepo imani na ucha-Mungu baina ya matabaka ya wananchi na vijana wa Iran.

  • Sisitizo la kuendeleza muqawama katika mwaka wa 17 wa Intifadha ya al Aqsa

    Sisitizo la kuendeleza muqawama katika mwaka wa 17 wa Intifadha ya al Aqsa

    Sep 30, 2017 00:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS siku ya Alkhamisi ilitoa tamko na kusema kuwa, muqawama ni chaguo la kiistratijia la wananchi wa Palestina na ni haki ya wananchi hao kwa ajili ya kupambana na wavamizi wa ardhi zao.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS