Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kuwait

  • Malengo na umuhimu wa safari ya Amir wa Kuwait nchini Iraq

    Malengo na umuhimu wa safari ya Amir wa Kuwait nchini Iraq

    Jun 21, 2019 07:10

    Swabah al-Ahmad al-Jabir as-Swabah Amir wa Kuwait siku ya Jumatano alifanya safari nchini Iraq ambapo alilakiwa na kufanya mazungumzo na Rais Barham Swaleh wa nchini hiyo.

  • Iran yataka nchi za Ghuba ya Uajemi ziwe macho kuhusu vitisho vya Marekani

    Iran yataka nchi za Ghuba ya Uajemi ziwe macho kuhusu vitisho vya Marekani

    May 27, 2019 14:46

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Sera za Marekani za vikwazo dhidi ya Iran zimehatarisha amani na usalama katika eneo hili zima na hivyo nchi za eneo zinapaswa kuwa macho kuhusu vitisho hivyo."

  • Kuwait yataka Israel itimuliwe katika Jumuiya ya Mabunge

    Kuwait yataka Israel itimuliwe katika Jumuiya ya Mabunge

    May 04, 2019 15:01

    Spika wa Bunge la Kuwait amesisitiza juu ya kuendelezwa juhudi za kutimuliwa utawala haramu wa Israel kutoka katika Jumuiya ya Mabunge kutokana na jinai zake unazozitenda.

  • Mfalme wa Kuwait: Nchi yangu haitosita kuchukua hatua za kuitetea Quds na Palestina

    Mfalme wa Kuwait: Nchi yangu haitosita kuchukua hatua za kuitetea Quds na Palestina

    Apr 24, 2019 04:15

    Mfalme Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah wa Kuwait sambamba na kusisitiza kuwa nchi yake inalitambua suala la Palestina kuwa kadhia kuu ya ulimwengu wa Kiislamu, amesema kuwa Kuwait haitosita kuchukua hatua yoyote katika kuitetea Quds na matukufu yake.

  • Amir wa Kuwait: Tutafanya kila tuwezalo kuilinda na kuitetea Quds

    Amir wa Kuwait: Tutafanya kila tuwezalo kuilinda na kuitetea Quds

    Apr 23, 2019 07:38

    Amir wa Kuwait Sheikh Ahmad Al-Jaber Al-Sabah amesisitiza msimamo wa nchi yake katika kuiunga mkono na kuitetea Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Kuwait: Utawala haramu wa Kizayuni umejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Kuwait: Utawala haramu wa Kizayuni umejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Apr 02, 2019 13:33

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait amesema kuwa, siasa za utawala haramu wa Kizayuni (Israel) zimejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa na kuongeza kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ishara tosha ya ukiukaji huo wa sheria.

  • Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni

    Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni

    Apr 01, 2019 02:53

    Kufuatia ushiriki wa idadi kadhaa ya viongozi wa Kizayuni katika mkutano uliopewa jina la 'Ujasiriamali' nchini Bahrain, Waziri wa Viwanda wa Kuwait ametangaza kususia mkutano huo.

  • Spika wa Bunge la Kuwait ataka kupigwa marufuku kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Spika wa Bunge la Kuwait ataka kupigwa marufuku kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Mar 04, 2019 08:07

    Spika wa Bunge la Kuwait ametoa wito wa kupigwa marufuku suala la kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel na kuzuiwa kuweko uhusiano wa kisiasa na utawala huo ghasibu unaotenda jinai kila leo dhidi ya Wapalestina.

  • Spika wa Bunge Kuwait alaani ushiriki wa nchi yake katika mkutano wa Warsaw, Poland

    Spika wa Bunge Kuwait alaani ushiriki wa nchi yake katika mkutano wa Warsaw, Poland

    Feb 19, 2019 03:55

    Spika wa Bunge la Kuwait amekosoa vikali ushiriki wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo katika mkutano wa Warsaw, Poland ambao ulihudhuriwa pia na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel.

  • Nchi za Kiarabu zaendelea kuipigia magoti Syria, Kuwait pia kurejesha ubalozi Damascus

    Nchi za Kiarabu zaendelea kuipigia magoti Syria, Kuwait pia kurejesha ubalozi Damascus

    Dec 29, 2018 08:08

    Serikali ya Kuwait imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS