-
Nchi za Kiarabu zaendelea kuipigia magoti Syria, Kuwait pia kurejesha ubalozi Damascus
Dec 29, 2018 04:38Serikali ya Kuwait imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Malengo ya safari ya kwanza nje ya nchi ya Rais wa Iraq huko Kuwait
Nov 12, 2018 09:09Barham Salih, Rais mpya wa Iraq jana Jumapili aliwasili nchini Kuwait ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika safari yake ya kieneo ya kuzitembelea nchi kadhaa za Ghuba ya Uajemi.
-
Mgogoro wa mafuta kati ya Saudia na Kuwait waongezeka
Nov 07, 2018 03:44Mkuu wa Shirika la Mafuta la Kuwait, Nizar Mohammed Al-Adsani ameelezea habari ya kuendelea mogoro kati ya nchi hiyo na Saudi Arabia kuhusiana na maeneo yenye utajiri wa mafuta ya Wafra na Al-Khafji.
-
Wabunge wa Kuwait wapinga nchi yao kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 29, 2018 01:06Wawakilishi wa Bunge la Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya nchi yao ya kutaka kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Wakuwait wakasirishwa na vitisho vya mwanamfalme wa Saudia dhidi ya nchi yao
Oct 15, 2018 01:22Vitisho vya mwanamfalme mmoja wa Saudia juu ya uwezekano wa kutekelezwa operesheni aliyoiita kwa jina la 'Dhoruba ya Maamuzi' nchini Kuwait, vimeibua hasira ya Wakuwait.
-
US yatumia veto kupinga azimio la kutaka kulindwa Wapalestina
Jun 02, 2018 03:18Marekani imetumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ikitaka kulindwa Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.
-
Rais wa zamani wa Komoro ashikiliwa kifungo cha nyumbani kufuatia kashfa ya pasipoti
May 20, 2018 10:19Rais wa zamani wa Komoro Ahmed Abdallah Mohammad Sambi anashikiliwa katika kifungo cha nyumbani nchini humo baada ya serikali kudai kuwa alihusika katika kashfa ya ufisadi ya kuwauzia wageni uraia.
-
Kuwait: Ni muhali eneo la Mashariki ya Kati kupata usalama bila kuihusisha Iran
Mar 24, 2018 21:50Waziri wa Ulinzi wa Kuwait amesema kuwa, ni muhali eneo la Mashariki ya Kati kupata usalama bila kuishirikisha na kuiweka karibu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq.
-
Qassemi: Al Jubeir anabwabwaja, anataka kuzungumza kwa niaba ya Wairaqi
Feb 15, 2018 12:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia katika kikao cha kuijenga upya Iraq dhidi ya Iran na kusema: Adel al-Jubeir amesahau kwamba hawezi kuzungumza kwa niaba ya serikali ya Iraq na wananchi wa nchi hiyo.
-
Nchi 70 kushiriki katika mkutano wa kuijenga upya Iraq
Feb 05, 2018 01:08Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, nchi 70 na mamia ya mashirika makubwa na wewekezaji wa kimataifa wametangaza nia yao ya kushiriki katika mkutano wa kuijenga upya Iraq unaotarajiwa kufanyika Kuwait baadaye mwezi huu.