-
Kumalizika ghafla kikao cha Kuwait na kudhihirika zaidi mwenendo wa kusambaratika Baraza la Ghuba ya Uajemi
Dec 06, 2017 22:09Kikao cha 38 cha viongozi wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kimefanyika hivi karibuni bila ya kuhudhiriwa na viongozi wengi wa nchi wananchama wa baraza hilo, kutokana na hitilafu nyingi zilizopo.
-
Mkutano wa Kuwait, hatua nyingine ya kutengwa Israel na Saudia
Nov 19, 2017 23:17Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Izzat al Rashq amesema kuwa, mkutano wa kukabiliana na hatua za koboresha uhusiano wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi na utawala wa Kizayuni wa Israel uliofanyika Kuwait ni hatua muhimu katika njia ya kuitenga na kuiabisha zaidi Israel na washirika wake.
-
Tathmini ya Kuwait kuhusu mwenendo wa kusambaratika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi
Oct 25, 2017 04:19Amir wa Kuwait, Sheikh Jaber al-Ahmad al-Sabah amesema kuwa, kusambaratika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ni kuporomoka ngome ya mwisho ya ushirikiano wa Kiarabu.
-
Mbunge wa Kuwait akemea vikali ujumbe wa Israel katika mkutano wa mabunge + Video
Oct 19, 2017 04:08Spika wa Bunge la Kuwait ameukemea vikali ujumbe wa bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha kuondoka katika mkutano wa kimataifa nchini Russia.
-
ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani
Oct 14, 2017 04:38Jumuiya ya Demokrasia na Haki za Binadamu ya Bahrain (ADHRB) imetangaza kuwa, hukumu za vifo dhidi ya wapinzani zimeongezeka sana katika nchi tatu za Saudi Arabia, Bahrain na Kuwait.
-
Kuwait yakadhibisha madai ya Reuters dhidi ya Iran
Aug 02, 2017 22:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait imetoa taarifa ikikadhibisha madai ya shirika la habari la Reuters kwamba Iran inatumia maji ya Kuwait kutuma silaha kwa harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Kupunguzwa wanadiplomasia wa Iran; mchezo wa Kuwait katika uwanja wa Saudia
Jul 21, 2017 08:34Baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait kuchukua uamuzi wa kupunguza idadi ya wanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu nchini humo, balozi mdogo wa nchi hiyo mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kufahamishwa kuwa serikali ya Iran pia ina haki ya kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya Kuwait.
-
Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo
Jun 05, 2017 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Kuwait, Qatar, Lebanon, Algeria na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na matukio yanayoendelea kujiri katika eneo.
-
Spika wa Bunge Kuwait: Israel inapaswa kutengwa kimataifa
Mar 23, 2017 11:45Spika wa Bunge la Kuwait, Marzouq Al-Ghanim, amelaani siasa za kibaguzi za utawala haramu wa Israel na kusisitiza udharura wa kutengwa utawala huo katika Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge.
-
Rais wa Iran na Amir wa Kuwait wasisitiza ulazima wa umoja wa nchi za eneo
Feb 16, 2017 01:15Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Amir wa Kuwait wamesisitiza umuhimu wa umoja na mshikamano wa nchi jirani na za Kiislamu hasa kwa kuzingatia hali ya hivi sasa Mashariki ya Kati.