Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kuwait

  • Spika wa Bunge la Kuwait ataka Israel ifukuzwe kwenye Umoja wa Mabunge

    Spika wa Bunge la Kuwait ataka Israel ifukuzwe kwenye Umoja wa Mabunge

    Feb 13, 2017 04:20

    Kuwait imelaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kutoa wito wa kutaka utawala huo ufukuzwe katika Umoja wa Kimataifa wa Mabunge.

  • Kuwait yakanusha madai ya kupiga marufuku raia wa nchi za Kiislamu

    Kuwait yakanusha madai ya kupiga marufuku raia wa nchi za Kiislamu

    Feb 06, 2017 02:42

    Serikali ya Kuwait imekadhibisha habari ya tetesi iliyoenea katika baadhi ya vyombo vya habari kwamba nchi hiyo imepiga marufuku raia wa nchi kadhaa za Kiislamu kuingia nchini humo.

  • Rouhani: Nguvu za Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo

    Rouhani: Nguvu za Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo

    Jan 26, 2017 03:44

    Rais Hassan Rouhani amesema nguvu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo.

  • Takwimu zilizozusha taharuki; Kuwait ina walimu wanne tu wa Fizikia

    Takwimu zilizozusha taharuki; Kuwait ina walimu wanne tu wa Fizikia

    Jan 25, 2017 07:25

    Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo haikubaliki kwa namna yoyote.

  • Wapinzani nchini Kuwait washinda karibu nusu ya viti vya Bunge

    Wapinzani nchini Kuwait washinda karibu nusu ya viti vya Bunge

    Nov 27, 2016 10:34

    Wapinzani nchini Kuwait wameshinda karibu nusu ya viti vya Bunge la nchi hiyo kufuatia matokeo yaliyotangazwa leo.

  • Kikao cha nne cha viongozi wa Kiarabu na Kiafrika na changamoto zake

    Kikao cha nne cha viongozi wa Kiarabu na Kiafrika na changamoto zake

    Nov 25, 2016 05:59

    Kikao cha nne cha pamoja baina ya viongozi wa Kiarabu na Kiafrika kimefanyika katika anga ya kushadidi tofauti na mivutano ya kisiasa baina ya pande mbili.

  • Bunge la Kuwait lavunjwa baada ya serikali kujiuzulu

    Bunge la Kuwait lavunjwa baada ya serikali kujiuzulu

    Oct 16, 2016 13:59

    Mfalme wa Kuwait amelivunja bunge la nchi hiyo punde baada ya serikali kujizulu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS