-
Larijani asisitiza kuendelezwa ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Syria
Jun 08, 2016 09:48Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi Bi Hadiyeh Khalaf al Abbas Spika Mpya wa kwanza mwanamke wa bunge la Syria na kueleza kuwa stratejia ya Iran ni kushirikiana pande zote na serikali na wananchi wa Syria ili kurejesha amani na uthabiti nchini humo.
-
Larijani: Kuunga mkono magaidi ni kwa maslahi ya Wazayuni
May 12, 2016 02:50Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amezikosoa baadhi ya nchi katika eneo hili la Mashariki ya Kati kwa kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuungwa mkono ugaidi ni kwa maslahi ya Wazayuni.
-
Larijani: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine
Apr 19, 2016 22:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, mfumo wa kambi moja wa Marekani umefeli katika kuendesha masuala ya dunia na kwamba sasa ugaidi unatumiwa na Washington kama wenzo wa kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine duniani.
-
Larijani: Ukosefu wa usalama katika Ulimwengu wa Kiislamu ni kwa maslahi ya Israel
Mar 29, 2016 23:39Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema ukosefu wa usalama na wimbi la mashambulio ya kigaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu vinafanywa na wale wanaotumikia maslahi ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Larijani alaani mashambulizi ya kigaidi ya Brussels
Mar 24, 2016 10:38Spika wa Majilisi ya ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi ya juzi katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, ambapo watu zaidi ya 30 waliuawa.