Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Idi ya muqawama; siku ya jinamizi kwa wavamizi

    Idi ya muqawama; siku ya jinamizi kwa wavamizi

    May 27, 2023 01:39

    Tarehe 25 Mei mwaka 2000, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulishindwa vibaya sana kwa kipigo kikali ulichopata kwa Muqawama wa Hizbullah ya Lebanon; na matokeo yake ukalazimika kurudi nyuma na kuondoka kimadhila kusini mwa nchi hiyo. Siku hiyo imekuwa maarufu nchini Lebanon kwa la jina la "Sikukuu ya Muqawama".

  • Waziri Mkuu wa Lebanon: Kuna ulazima wa kuchukua hatua haraka ili kuiokoa nchi

    Waziri Mkuu wa Lebanon: Kuna ulazima wa kuchukua hatua haraka ili kuiokoa nchi

    Mar 24, 2023 10:00

    Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Miqati amesema, kuna ulazima wa kuchukuliwa hatua za haraka za kuiokoa nchi hiyo.

  • Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Mar 23, 2023 11:03

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepuuzilia mbali vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na maafisa wa utawala haramu wa Israel vya kuwepo uwezekano wa kuivamia kijeshi Lebanon na kusisitiza kuwa, uchokozi wowote wa Israel dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu utapata jibu la haraka.

  • Rais Assad: Marekani inazishinikiza nchi nyingi zisiwasaidie waathirika wa tetemeko la ardhi Syria

    Rais Assad: Marekani inazishinikiza nchi nyingi zisiwasaidie waathirika wa tetemeko la ardhi Syria

    Feb 09, 2023 13:45

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amefichua kuwa Marekani inatoa mashinikizo kwa nchi zinazotaka kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Syria. Assad ameyasema hayo katika mkutano na ujumbe wa mawaziri kadhaa wa Lebanon.

  • Kuanza tena uchunguzi kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut

    Kuanza tena uchunguzi kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut

    Jan 24, 2023 02:23

    Duru za habari za Lebanon zimetangaza kuwa hakimu anayechunguza kesi ya mlipuko uliotokea mwaka 2020 katika bandari ya Beirut ameamua kuanzisha tena uchunguzi wa kesi hiyo.

  • Bunge la Lebanon lakwama kwa mara ya 11 kumchagua Rais mpya

    Bunge la Lebanon lakwama kwa mara ya 11 kumchagua Rais mpya

    Jan 20, 2023 02:46

    Bunge la Lebanon jana lilikwama tena kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo na kupelekea mkwamo wa kumchagua kiongozi wa juu zaidi nchini humo kuendelea kushuhudiwa.

  • Sababu za umuhimu wa safari ya Amir-Abdollahian nchini Lebanon

    Sababu za umuhimu wa safari ya Amir-Abdollahian nchini Lebanon

    Jan 15, 2023 02:22

    Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Abdallah Bou Habib, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika safari yake mjini Beirut na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima itaendelea kuwa rafiki mwaminifu na wa kutegemewa wa Lebanon.

  • Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran

    Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran

    Jan 14, 2023 03:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, Abdullah Bou Habib amesifu na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa taifa hilo la Kiarabu.

  • Mchezaji tenisi ya mezani Mlebanon agoma kucheza na Mzayuni; aiunga mkono Palestina

    Mchezaji tenisi ya mezani Mlebanon agoma kucheza na Mzayuni; aiunga mkono Palestina

    Nov 26, 2022 07:53

    Nyota chipukizi wa mchezo wa tenisi ya mezani raia wa Lebanon amejiondoa katika mashindano ya Kombe la Dunia ya Tenisi ya Mezani Kwa vijana Chipukizi (WTT) baada ya kupangwa kumenyana na mchezaji kutoka Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).

  • Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel

    Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel

    Nov 21, 2022 11:25

    Mashabiki wa soka wa nchi za Kiarabu wamekataa kuzungumza na waandishi wa habari wa mashirika ya utawala haramu wa Israel nchini Qatar, kunakofanyika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu 2022; kuonyesha upinzani wao wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS