-
Mafanikio ya kiistratijia ya kutumwa mafuta ya Iran nchini Lebanon; nguvu za muqawama za kutatua mgogoro
Sep 19, 2021 07:53Malori ya kwanza ya mafuta ya Iran yaliwasili nchini Lebanon Alkhamisi tarehe 16 Septemba, 2021 na kupokewa kwa shauku na furaha kubwa na wananchi wa nchi hiyo. Shehena ya pili ya mafuta hayo iliwasili Jumamosi asubuhi, Septemba 18 baada ya kuvuuka mpaka wa Syria na kuingia Lebanon.
-
Waziri wa Lebanon: Mafuta ya Iran yamevunja vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Sep 16, 2021 07:47Waziri wa Kazi wa serikali mpya ya Lebanon amesema sambamba na kuingia misafara ya mafuta ya Iran katika ardhi ya nchi hiyo kwamba, shehena hizo za mafuta zimevunja mzingiro wa kihistoria na wa kidhalimu ambao Marekani ilikuwa imeiwekea Lebanon.
-
Baada ya mkwamo wa miezi 13 hatimaye agizo la kuunda serikali mpya ya Lebanon lasainiwa
Sep 10, 2021 22:41Agizo la kuundwa serikali ya Lebanon limesainiwa rasmi na Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.
-
Ubunifu wa Hizbullah na kushindwa siasa za mzingiro na uingiliaji za Marekani
Sep 06, 2021 01:55Ubunifu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon katika kuingiza nchini mafuta kutoka Iran na hivyo kudhibiti mgogoro wa nishati wa nchi hiyo, kunachukuliwa kuwa ishara ya wazi ya kushindwa siasa za mzingiro za Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Amir-Abdollahian: Iran iko tayari kuiuzia Lebanon mafuta zaidi
Sep 03, 2021 21:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuendelea kuiuzia serikali na wafanyabiashara wa Lebanon mafuta.
-
Mufti wa Lebanon: Hizbullah imetuletea fakhari; Marekani ni gonjwa la saratani la Lebanon
Sep 02, 2021 02:59Mufti wa Waislamu wa Kishia nchini Lebanon amesema kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ni fahari kwa Lebanon na kwamba, kama kuna saratani nchini humo na ulimwenguni, basi saratani hiyo ni Marekani na wafuasi wake.
-
Iran yaionya Marekani; Msithubutu kuzuia meli zetu za mafuta zinazoelekea Lebanon
Aug 30, 2021 07:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani haina haki wala mamlaka ya kuzuia biashara halali baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyinginezo duniani huku akiionya vikali Washington dhidi ya kuzuia meli za mafuta za nchi hii zinazoelekea Lebanon.
-
Mbunge Mkristo wa Lebanon: Iran ni rafiki yetu; balozi wa Marekani aache uafriti wa kutukwamisha
Aug 26, 2021 22:06Cesar Maalouf, mbunge wa Kikristo katika bunge la Lebanon amesema, Iran si adui wa Lebanon bali ni nchi rafiki; na adui Mzayuni ndiye adui pekee wa Lebanon.
-
Lebanon yafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Uingereza kwa kuhusika na mlipuko wa Bandari ya Beirut
Aug 25, 2021 03:46Lebanon imefungua mashtaka katika mahakama Kuu ya Uingereza mjini London dhidi ya kampuni moja ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika katika mlipuko wa mwaka jana katika Bandari ya Beirut.
-
Rais wa Lebanon: Mnamo siku zijazo zitasikika habari njema za kuundwa serikali
Aug 23, 2021 22:15Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, ana matumaini kuwa katika siku zijazo zitatangazwa habari njema kuhusu uundwaji wa serikali ya nchi hiyo.