-
Nafasi ya Marekani katika mgogoro wa sasa nchini Lebanon
Aug 23, 2021 22:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah Jumapili ya juzi tarehe 22 Agosti alitoa hotuba akizungumzia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kusema kuwa, Marekani imekuwa na nafasi kubwa katika kuchochea mgogoro wa sasa wa Lebanon.
-
UNIFIL yaikosoa Israel kwa kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon
Aug 22, 2021 22:02Hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon wakati wa kuishambulia Syria imekosolewa na Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa huko Lebanon (UNIFIL)
-
Radiamali kwa hatua ya Iran ya kutuma mafuta Lebanon
Aug 22, 2021 00:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma meli za mafuta huko Lebanon kufuatia kupamba moto mgogoro wa nishati nchini humo.
-
Walebanon wakaribisha hatua ya Hizbullah ya kuagiza mafuta kutoka Iran
Aug 19, 2021 19:36Hotuba ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon kuhusu safari ya meli za mafuta kutoka Iran zinazoelekea nchini humo imekaribishwa kwa shangwe na wanasiasa na sehemu kubwa ya wananchi wa Lebanon hususan katika mitandao ya kijamii.
-
Kuondolewa ruzuku ya nishati na duru mpya ya malalamiko ya watu wa Lebanon
Aug 13, 2021 19:29Uamuzi wa Gavana wa Benki Kuu ya Lebanon wa kufutilia mbali ruzuku ya nishati, umepelekea watu wa nchi hiyo kuanzisha duru mpya ya malalamiko na maandamano ya mitaani.
-
"Muqawama wa Kiislamu utajibu hujuma zote za Israel dhidi ya Lebanon"
Aug 13, 2021 08:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kufahamu kuwa, muqawama wa Kiislamu utatoa majibu kwa mashambulizi yote ya Tel Aviv dhidi ya Lebanon.
-
Nasrullah: Hizbullah imejiandaa kutoa jibu zito kwa uchokozi wa Israel
Aug 08, 2021 03:24Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama haitaki vita, lakini pia haigopi vita kwa kuwa ina uhakika wa kuibuka mshindi iwapo vitaibuka.
-
Shambulio la kijeshi la Israel kusini mwa Lebanon baada ya miaka 15; sababu, malengo na matokeo yake
Aug 06, 2021 20:42Vyombo ya habari vya Palestina vilitangaza alfajiri ya kuamkia Alkhamisi kwamba ndege za kivita za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia ngome kadhaa katika eneo la mpaka wa pamoja wa kusini mwa Lebanon na Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Hizbullah yasema imerusha maroketi dhidi ya kambi ya utawala za Kizayuni wa Israel
Aug 06, 2021 07:14Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa wapiganaji wake wa kituo cha Shahidi Ali Muhsin Kamel na Shahidi Muhammad Qassim Tahal wamejibu mashambulizi ya karibuni ya utawala wa Kizayni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon kwa kufurumusha maroketi kadhaa dhidi ya utawala huo.
-
Judoka mwingine, raia wa Lebanon akataa kupambana na Mzayuni
Aug 01, 2021 03:39Mwanajudo wa Lebanon, Abdullah Miniato ametangaza kujiondoa katika mashindano ya kimataifa ya mchezo wa mixed martial arts (MMA) huko mjini Sophia, Bulgaria, na kwa utaratibu huo anakuwa judoka wa tatu kukwepa kuvaana na hasimu kutoka utawala haramu wa Israel katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020.