Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza mashambulio ya anga dhidi ya Yemen

    Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza mashambulio ya anga dhidi ya Yemen

    Jul 31, 2021 21:59

    Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia umeendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya nchi masikini ya Yemen.

  • Kamanda wa jeshi la Lebanon: Jeshi liko macho mkabala na hatari ya adui Mzayuni

    Kamanda wa jeshi la Lebanon: Jeshi liko macho mkabala na hatari ya adui Mzayuni

    Jul 30, 2021 22:10

    Kamanda wa jeshi la Lebanon amesisitiza kuwa vikosi vya jeshi hilo vipo tayari katika maeneo ya mipakani kwa ajili ya kukabiliana na hatari ya utawala wa Israel.

  • Najib Mikati apewa jukumu la kunda serikali nchini Lebanon

    Najib Mikati apewa jukumu la kunda serikali nchini Lebanon

    Jul 26, 2021 22:02

    Najib Mikati mfanyabiashara tajiri wa Lebanon amepata wingi wa kura za Wabunge na hivyo kuidhinishwa kubeba jukumu la Uwaziri Mkuu na kuunda serikali ya nchi hiyo.

  • Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon

    Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon

    Jul 17, 2021 03:17

    Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, uingiliaji wa Marekani ndio sababu kuu ya masaibu yote ya Lebanon na akasisitiza kwamba, fitna ya Marekani inaandama na kuhujumu kila sehemu ya eneo la Asia Magharibi ulipo muqawama na uteteaji wa sharafu na heshima.

  • Lebanon yakumbwa na maandamano baada ya Saad Hariri kujitoa katika jukumu la kuunda serikali

    Lebanon yakumbwa na maandamano baada ya Saad Hariri kujitoa katika jukumu la kuunda serikali

    Jul 16, 2021 03:42

    Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya Lebanon masaa machache tu baada ya Waziri Mkuu Saad Hariri kutangaza kujiuzulu na kuacha jukumu alilopatiwa na kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.

  • Hariri amkabidhi Rais Aoun orodha ya aliowapendekeza kuunda serikali mpya ya Lebanon

    Hariri amkabidhi Rais Aoun orodha ya aliowapendekeza kuunda serikali mpya ya Lebanon

    Jul 14, 2021 23:03

    Waziri Mkuu wa Lebanon aliyepewa jukumu la kuunda serikali amekabidhi kwa Rais Michel Aoun orodha ya majina ya watu aliowapendekeza kuunda baraza lake la mawaziri.

  • Iran: Israel inabeba dhima ya kutekwa wanadiplomasia wa Kiirani Lebanon

    Iran: Israel inabeba dhima ya kutekwa wanadiplomasia wa Kiirani Lebanon

    Jul 04, 2021 22:24

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake ndio wanaobeba dhima ya kisiasa na kisheria kuhusu hatima ya wanadiplomasia wanne wa Kiirani waliotekwa nyara nchini Lebanon mwaka 1982.

  • Upatanishi wa Hizbullah kwa ajili ya kupunguza mivutano ya kisiasa nchini Lebanon

    Upatanishi wa Hizbullah kwa ajili ya kupunguza mivutano ya kisiasa nchini Lebanon

    Jun 25, 2021 22:00

    Vyanzo vya habari vimetangaza habari ya juhudi zinazofanywa na Chama cha Hizbullah ya Lebanon kwa madhumuni ya kuwapatanisha Rais na Spika wa Bunge la Lebanon na vile vile makundi ya kisiasa ya nchi hiyo kwa ajili ya kupunguza mivutano na kufikia muwafaka kuhusu namna ya kubuni serikali mpya ya nchi hyo.

  • Nujabaa ya Iraq: Tuko tayari kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria

    Nujabaa ya Iraq: Tuko tayari kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria

    Jun 12, 2021 08:08

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Iraq ya al-Nujabaa ambayo ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo ametangaza utayarifu wa harakati yake kwa ajili ya kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria.

  • Baada ya kudhalilishwa Gaza, Israel sasa yaitishia vita Lebanon

    Baada ya kudhalilishwa Gaza, Israel sasa yaitishia vita Lebanon

    May 27, 2021 03:20

    Baada ya kudhalilishwa na kushindwa vibaya na kambi ya muqawama katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, utawala wa Kizayuni wa Israel sasa unatishia kuishambulia kijeshi Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS