-
Rais Rouhani: Njia pekee ya kukabiliana na wavamizi ni mapambano
May 25, 2021 22:19Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia pekee ya kukabiliana na wavamizi, ni mapambano.
-
Rais Rouhani atoa mkono wa pongezi kufuatia maadhimisho ya kukombolewa kusini mwa Lebanon
May 25, 2021 03:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pongezi kufuatia kuwadia maadhimisho ya kukombolewa eneo la kusini mwa Lebanon.
-
Makumi ya Walebanon wavuka mpaka na kuingia Palestina inayokaliwa kwa mabavu
May 14, 2021 23:56Vyombo vya habari vimeripoti kuwa makumi ya Walebanon wamevunja uzio wa mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel na kuingia katika ardhi hizo kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Waislamu wa Jordan na Lebanon waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wa Quds
Apr 29, 2021 22:47Kadiri Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inavyozidi kukaribia, ndivyo utawala wa Kizayuni wa Israel unavyozidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina.
-
Lebanon; nchi yenye mawaziri wakuu wawili kwa wakati mmoja
Apr 24, 2021 22:08Katika miezi minane iliyopita, Lebanon imekuwa na mawaziri wakuu wawili kwa wakati mmoja. Tarehe 4 Agosti mwaka uliopita mji mkuu wa nchi hiyo Beirut, ulishuhudia mlipuko mkubwa ambao ulipelekea watu karibu 200 kupoteza maisha.
-
Safari ya Hassan Diab nchini Qatar; malengo na umuhimu wake
Apr 20, 2021 06:25Hassan Diab, Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon Jumapili ya juzi tarehe 18 Aprili aliwasili Doha, mji mkuu wa Qatar ikiwa ni safari yake ya kwanza nje ya nchi tangu ulipoanza mwaka huu wa 2021.
-
Hassan Diab: Lebanon inakaribia kusambaratika
Apr 19, 2021 23:07Waziri Mkuu wa muda wa Lebanon amesema ana wasiwasi juu ya hatari ya kusambaratika nchi yake kutokana na migogoro mikubwa iliyojitokeza na ambayo haijaweza kutatuliwa, ukiwemo wa kuunda serikali mpya.
-
Waungaji mkono wa nje wa Hariri ndio chanzo cha kushindwa kwake kuunda serikali ya Lebanon
Apr 12, 2021 22:22Licha ya kupita miezi 6 tokea bunge la Lebanon limpigie kura ya kuwa na imani naye, Saad Hariri ameshindwa kuunda serikali mpya na kwa sasa masuala ya nchi hiyo yanasimamiwa na serikali ya muda inayoongozwa na Hassan Diab.
-
Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria
Apr 10, 2021 07:59Lebanon imekosoa vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel kutumia anga ya hiyo ya Kiarabu kutekeleza mashambulio ya makombora dhidi ya Syria.
-
Kupimana nguvu makundi ya Lebanon na kuingia katika mivutano hatari ya kisiasa
Mar 26, 2021 12:09Duru ya 18 ya mazungumzo kati ya Saad al-Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon ambaye amepewa jukumu la kubuni serikali mpya, na Rais Michel Aoun, ambayo ilifanyika Jumatatu iliyopita, ilimazika bila natija yoyote ya maana na kwa mujibu wa vyombo vya habari, jambo hilo limeitumbukiza nchi hiyo katika mivutano ya kisiasa ambayo inaweza kuiandama kwa muda mrefu.