Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Lebanon yalaani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Hizbullah

    Lebanon yalaani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Hizbullah

    Mar 17, 2021 23:18

    Balozi wa Lebanon katika Umoja wa Mataifa amelaani madai yaliyotolewa hivi karibuni na viongozi wa Kizayuni dhidi ya Hizbullah akisisitiza kuwa hayana msingi na yanaingilia masuala ya ndani ya nchi yake.

  • 'Kulifufua genge la kigaidi la Daesh ndilo lengo la kiistratijia la Marekani'

    'Kulifufua genge la kigaidi la Daesh ndilo lengo la kiistratijia la Marekani'

    Feb 25, 2021 23:20

    Mbunge wa zamani wa Lebanon amesisitiza kuwa, suala la kulifufua genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndilo lengo la kiistratijia la Marekani kwani inaamini kwamba genge hilo ni turufu ya kufanikisha malengo yake haramu katika eneo hili.

  • Video ya Hizbullah iliyokashifu vituo vya kijeshi vya Israel ndani ya miji yazusha taharuki

    Video ya Hizbullah iliyokashifu vituo vya kijeshi vya Israel ndani ya miji yazusha taharuki

    Feb 18, 2021 22:54

    Kwa mara ya kwanza, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa mkanda wa video unaoonyesha kambi na vituo vya kijeshi vya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndani ya miji ya ardhi hizo za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

  • Nasrallah aionya Israel:

    Nasrallah aionya Israel: "Acheni kucheza na moto"

    Feb 17, 2021 04:23

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka kwa Hizbullah.

  • Lebanon katika mzingo wa hitilafu; mkwamo wa kuunda Serikali unaendelea

    Lebanon katika mzingo wa hitilafu; mkwamo wa kuunda Serikali unaendelea

    Feb 16, 2021 05:29

    Licha ya kupita miezi minne tangu Saad Hariri kupewa jukumu la kuunda serikali nchini Lebanon, lakini Waziri Mkuu huyo hadi hivi sasa ameshindwa kuunda Baraza la Mawaziri kutokana na hitilafu na mivutano mingi iliyomo nchini humo.

  • Kuuliwa Luqman Salim sambamba na mafanikio ya kijeshi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon

    Kuuliwa Luqman Salim sambamba na mafanikio ya kijeshi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon

    Feb 06, 2021 09:43

    Luqman Salim mwanaharakati wa kisiasa na mwandishi wa Lebanon aliuawa Alhamisi katika mji wa Nabatiyah ambao wakazi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko kusini mwa Lebanon.

  • Hizbullah yalaani mauaji ya mkosoaji wa harakati hiyo ya Lebanon

    Hizbullah yalaani mauaji ya mkosoaji wa harakati hiyo ya Lebanon

    Feb 05, 2021 08:44

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya mwanaharakati wa kisiasa na mtafiti wa nchi hiyo ya Kiarabu, Lokman Slim aliyeuawa katika mazingira ya kutatanisha.

  • Waziri wa Uinzi wa Lebanon autaka utawala wa Kizayuni ukomeshe uchokozi dhidi ya nchi hiyo

    Waziri wa Uinzi wa Lebanon autaka utawala wa Kizayuni ukomeshe uchokozi dhidi ya nchi hiyo

    Jan 19, 2021 04:32

    Waziri wa Ulinzi wa Lebanon ameutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ukomeshe kila aina ya uchokozi na uvamizi unaofanya dhidi ya mipaka ya anga, bahari na nchi kavu ya nchi hiyo.

  • Lebanon yazishutumu Uturuki na Israel kuifanyia utapeli

    Lebanon yazishutumu Uturuki na Israel kuifanyia utapeli

    Jan 17, 2021 09:51

    Wizara ya Viwanda ya Libanon imezishutumu Uturuki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuitapeli na kuwadanganya watumiaji wa bidhaa za madola hayo katika masoko ya kigeni.

  • Lebanon yaushtaki utawala wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la UN

    Lebanon yaushtaki utawala wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la UN

    Jan 14, 2021 09:26

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imewasilisha shtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo kutokana na hatua ya Israel kukiuka mara kwa mara anga ya Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS